#COVID19 Waziri Gwajima Kiboko! Ni Mwanamke wa Shoka… Amuita mtu ‘Kibwetere’. Unamjua huyo Kibwetere ni nani na Wakoje naye?

Wanabodi,

Huyu Waziri wa Afya, Gwajima Kiboko!, Ni Mwanamke wa Shoka kweli kweli!, leo kuna mtu amemuita Kibwetere!.

Msikilize Waziri Gwajima

Jee unamjua huyo aliyemuita Kibwetere ni nani?, na ni nani wake au wakoje nae?.

Ukiishamjua Kibwetere ni nani, utakubaliana na mimi, huyu Waziri Gwajima ni mwanamke wa shoka kweli.

Hongera sana Waziri Gwajima, wewe ni mwanamke wa shoka!.
"Ndugu Kibwetere wetu, tunakuomba usiwaponze Watanzania wenzetu, kama wale wafuasi wa Kibwetere yule!"

P

Kibwetere yeye huyo Dorothy Uduvi. Wasubiri pigo maana watazomewa nchi nzima na watapuuzwa vilivyo hadi mawe watapigwa na ndio mwisho Tz yenye umoja, amani na mshikamano unaochagizwa na viongozi
 
Wanabodi,

Huyu Waziri wa Afya, Gwajima Kiboko!, Ni Mwanamke wa Shoka kweli kweli!, leo kuna mtu amemuita Kibwetere!.

Msikilize Waziri Gwajima

Jee unamjua huyo aliyemuita Kibwetere ni nani?, na ni nani wake au wakoje nae?.

Ukiishamjua Kibwetere ni nani, utakubaliana na mimi, huyu Waziri Gwajima ni mwanamke wa shoka kweli.

Hongera sana Waziri Gwajima, wewe ni mwanamke wa shoka!.
"Ndugu Kibwetere wetu, tunakuomba usiwaponze Watanzania wenzetu, kama wale wafuasi wa Kibwetere yule!"

P

Jina la Gwajima siyo la kumpa mtoto wako maana wote hawa inaonekana wana shida kichwani
 
Mkuu, I'm glad now you've come back to your full consciousness. Tusiwaamini kabisa hawa wanaofanya maamuziya kisiasa. Utaishia kwenye great disappointments. Mwanasiasa wa Kitanzania haaminiki. Wote hawa wana ndimi nyingi mno.
Enzi ya dikteta no 1 walikuwa upande wa malimao na maembe, kwa katili wapo kwenye chanjo
 
Wanabodi,

Huyu Waziri wa Afya, Gwajima Kiboko!, Ni Mwanamke wa Shoka kweli kweli!, leo kuna mtu amemuita Kibwetere!.

Msikilize Waziri Gwajima

Jee unamjua huyo aliyemuita Kibwetere ni nani?, na ni nani wake au wakoje nae?.

Ukiishamjua Kibwetere ni nani, utakubaliana na mimi, huyu Waziri Gwajima ni mwanamke wa shoka kweli.

Hongera sana Waziri Gwajima, wewe ni mwanamke wa shoka!.
"Ndugu Kibwetere wetu, tunakuomba usiwaponze Watanzania wenzetu, kama wale wafuasi wa Kibwetere yule!"

P

Kibwetele ni Magufuli. Alitaka sote tufe kwa korona.
 
Hii nchi kila mtu anaweza drama..
Huhitaji kufatilia series yeyote
Hahaha Mkuu ni information age na globalization, now mtu anaweza kuandika or kufanya chochote na kikasambaa dunia nzima kwa saa 1 tu. TZ mbona tuna nafuu mzee, nchi za wengine huko kwenye uhuru uliopitiliza ni majanga
 
Kuhusu hivi vijimafua, askofu kibwetere yuko sahihi. Kama nchi ni upumbavu kuweka nguvu kubwa na Mali kwa ajili ya vijimafua visivyoweza kuua hata kifaranga cha kuku
 
Wanabodi,

Huyu Waziri wa Afya, Gwajima Kiboko!, Ni Mwanamke wa Shoka kweli kweli!, leo kuna mtu amemuita Kibwetere!.

Msikilize Waziri Gwajima

Jee unamjua huyo aliyemuita Kibwetere ni nani?, na ni nani wake au wakoje nae?.

Ukiishamjua Kibwetere ni nani, utakubaliana na mimi, huyu Waziri Gwajima ni mwanamke wa shoka kweli.

Hongera sana Waziri Gwajima, wewe ni mwanamke wa shoka!.
"Ndugu Kibwetere wetu, tunakuomba usiwaponze Watanzania wenzetu, kama wale wafuasi wa Kibwetere yule!"

P

well said
 
Itakuja scene ya 'gwajima's kickboxers blood sport'

Gwajima (ME) hatokubali
Askofu Gwajima katika hili wala hatajibu. Mimi najua ni kwa nini. Tatizo letu humu jukwaani huwa tunaona kila kitu ni siasa. Zingine siyo siasa. These people are both Gwajima's, waacheni!
 
Ila Mayala Pasco ni mnafiki dunia nzima sasa inakujua
Ulianza kwayule kijana Mwandishi
Sasa unachochea kuni kwa nduguzako loo!
Utakufa mdomo wazi acha unaa umri umepita
Jenga habari za kuleta amani acha kubomoa
 
Yule mama kelele na maigizo meengi lakini hakuna kitu pale. Hata msaidizi wake naye hovyo tu. Ile wizara ndiyo yenye mkosi kwa kupata viongozi wa aina ile wenye titles kubwa za udkt lakini uwezo ni darasa la saba
 
Wanabodi,

Huyu Waziri wa Afya, Gwajima Kiboko!, Ni Mwanamke wa Shoka kweli kweli!, leo kuna mtu amemuita Kibwetere!.

Msikilize Waziri Gwajima

Jee unamjua huyo aliyemuita Kibwetere ni nani?, na ni nani wake au wakoje nae?.

Ukiishamjua Kibwetere ni nani, utakubaliana na mimi, huyu Waziri Gwajima ni mwanamke wa shoka kweli.

Hongera sana Waziri Gwajima, wewe ni mwanamke wa shoka!.
"Ndugu Kibwetere wetu, tunakuomba usiwaponze Watanzania wenzetu, kama wale wafuasi wa Kibwetere yule!"

P

Kumbuka anayemuita Kibweyere ni shemeji yake kabisa 😃😃😃😃 Ila yule alianza kumuita daktari uchwara.
 
Nashangaa sana pale jina linapoishia na Jima kwanini pasingekuwa na jinga na pale panapoishia na phat ingependeza paishie na fart.haya tujaribu kupachika mapendekezo yangu
Jose-fart gwa-jinga naam naona limekaa vizuri
 
Wanabodi,

Huyu Waziri wa Afya, Gwajima Kiboko!, Ni Mwanamke wa Shoka kweli kweli!, leo kuna mtu amemuita Kibwetere!.

Msikilize Waziri Gwajima

Jee unamjua huyo aliyemuita Kibwetere ni nani?, na ni nani wake au wakoje nae?.

Ukiishamjua Kibwetere ni nani, utakubaliana na mimi, huyu Waziri Gwajima ni mwanamke wa shoka kweli.

Hongera sana Waziri Gwajima, wewe ni mwanamke wa shoka!.
P

Leo siku ya wanawake duniani, wanawake wa shoka kama hawa, wapewe maua yao!
P
 
Back
Top Bottom