Kichwamoto
JF-Expert Member
- Jan 21, 2019
- 3,403
- 4,692
Wanabodi,
Huyu Waziri wa Afya, Gwajima Kiboko!, Ni Mwanamke wa Shoka kweli kweli!, leo kuna mtu amemuita Kibwetere!.
Msikilize Waziri Gwajima
Jee unamjua huyo aliyemuita Kibwetere ni nani?, na ni nani wake au wakoje nae?.
Ukiishamjua Kibwetere ni nani, utakubaliana na mimi, huyu Waziri Gwajima ni mwanamke wa shoka kweli.
Hongera sana Waziri Gwajima, wewe ni mwanamke wa shoka!.
"Ndugu Kibwetere wetu, tunakuomba usiwaponze Watanzania wenzetu, kama wale wafuasi wa Kibwetere yule!"
P
Kibwetere yeye huyo Dorothy Uduvi. Wasubiri pigo maana watazomewa nchi nzima na watapuuzwa vilivyo hadi mawe watapigwa na ndio mwisho Tz yenye umoja, amani na mshikamano unaochagizwa na viongozi