Waziri Gwajima tengua uamuzi wako wa kuunga mkono sheria ya maadili Arusha, hili ni bomu unatengeneza

Mkuu kujadiliana na mama yangu kwa hoja ndio kufokeana.Acha nidhamu ya uoga ya kushindwa kuwaambia watu tuliowapa dhamana ya kutuongoza ukweli na kiini cha tatizo.
Mwalimu nyerere alitufundisha hulka ya kuhoji viongozi bila uoga au unafiki sababu wana dhamana ya kutuongoza
 
Hayo Mambo ya maadili ni ya maafisa utamaduni, zenji nao kule mwanaume akikutwa kasuka faini.
 
Kwamba vigilantism ndiyo suluhisho la mmomonyoko wa maadili?
Inawezekana, mtu mzima na akili timamu unashinda msikitini siku nzima kuteta wanaume wenzako wanaofanya kazi ama kujituma, wewe unashindwa nini kufanya kazi? Au kwenda unashinda makanisani kulia na kuimba huna muda wa kutafuta kazi ukitegemea Yesu atakuja kukupa kazi kupitia kwa manabii wa kishikaji
Kwamba vigilantism ndiyo suluhisho la mmomonyoko wa maadili?
Inawezekana, mtu mzima na akili timamu unashindaje msikitini siku nzima kuteta wanaume wenzako wanaofanya kazi ama kujituma, wewe unashindwa nini kufanya kazi? Au kwenda unashinda makanisani kulia na kuimba huna muda wa kutafuta kazi ukitegemea Yesu atakuja kukupa kazi kupitia kwa manabii wa kishikaji huu pia ni mmomonyoko wa maadili maana wananchi wanakuwa wanafiki kuendekeza dini za watu zisizo na mashiko kwetu mwisho wa siku taifa letu linabaki na wananchi mambumbumbu wasio na elimu ila wanaishi kimatumaini tu kwa kufuata dini za watu.
 
Mkuu unajua maana ya kufoka na kukosa adabu????
Mbona vijana wa kitanzania mnakua waoga wa kujadiliana ukweli bila aibu wala kupepesa macho na watu tuliowapa dhamana ya kutuongoza???
Kiongozi lazima aambiwe ukweli sababu ana dhamana tuliyompa ya kuongoza watu.
CK: Maneno kama unamfokea kiongozi au huna adabu au huna nidhamu,ni maneno ya nidhamu ya kujipendekeza na nidhamu ya uoga na unafiki.Ambayo vijana wa CCM wa miaka ya 80,s chini ya Mwalimu Nyerere hatukulelewa hivyo.
 

Washinda/wakesha makanisani au misikitini sio walengwa wa hizi decrees mkuu.

Na hata ingekuwa wao bado suluhisho sio kuwatoza faini au kuwachapa viboko.
 

Asante mkuu kwa swali hili.
Nami nikuulize kidogo.
1. Je, hiyo jamii ipo wapi hapa Tanzania?
2. Hiyo jamii ndo mtindo wao wa kuvaa vipisi na kukatiza navyo katika mitaa yao siku zote na wakati wowote!?
3. If Yes for no. 2 above, Je, huo utamaduni ni sawa kwako hata kama unaathiri jamii nyingine!?
4. Kuna jamii pia ilikuwa na utamaduni wa kukeketa watoto wa kike huku jamii zingine zikipinga huo utamaduni hadi serikali ikaingilia kati na kukomesha huo utamaduni. Sasa je, kwa mawazo yako, jamii na serikali kupinga huo utamaduni walikosea kwa sababu waliingilia tamaduni za jamii ile!?
Naomba unijibu kwanza hayo mkuu.
Natanguliza shukrani πŸ™πŸ™πŸ™
 
Kizazi cha singeli amapiano

Kazi kwerikweri

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…