Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kujadiliana na mama yangu kwa hoja ndio kufokeana.Acha nidhamu ya uoga ya kushindwa kuwaambia watu tuliowapa dhamana ya kutuongoza ukweli na kiini cha tatizo.Kwamba kwa sababu kuna viongozi na vijana wa hovyo kila sehemu basi juhudi za kurekebisha zifutiliwe mbali na kusahaulika kabisa?
Ukitambua kwamba hao Viongozi unaowalaumu ni zao halisi la jamii zetu utaelewa ni kwanini hiyo jamii ya hicho kijiji imechukua hatua hizo katika jitihada za kulinda maadili na Tamaduni zao.
Watanzania hawawezi kuwalaumu hao viongozi kwa maana wao na hao ni zao kutoka shamba moja japo mbegu tofauti.
Hatua ya hiyo jamii kusimamia Mila, Tamaduni na Maadili yao ni Nzuri mno na yenye kufaa kuigwa na kila mwenye upeo unaojitegemea na mwenye kutambua umuhimu wa kesho yetu iliyosafi na utaifa wetu kwa Umoja wetu mbali ya tofauti zetu za kikabila na kiImani.
Tujifunze kushirikiana katika kheri tunapopata japo kiongozi mmoja mwenye nia thabiti ya kushirikiana na sisi kuyafikia malengo yetu na ya jamii zetu.
PS; Tafadhali acha kumfokea Doctor Gwajima na hizo CAPS zako, kuwa na Adabu.
Inawezekana, mtu mzima na akili timamu unashinda msikitini siku nzima kuteta wanaume wenzako wanaofanya kazi ama kujituma, wewe unashindwa nini kufanya kazi? Au kwenda unashinda makanisani kulia na kuimba huna muda wa kutafuta kazi ukitegemea Yesu atakuja kukupa kazi kupitia kwa manabii wa kishikajiKwamba vigilantism ndiyo suluhisho la mmomonyoko wa maadili?
Inawezekana, mtu mzima na akili timamu unashindaje msikitini siku nzima kuteta wanaume wenzako wanaofanya kazi ama kujituma, wewe unashindwa nini kufanya kazi? Au kwenda unashinda makanisani kulia na kuimba huna muda wa kutafuta kazi ukitegemea Yesu atakuja kukupa kazi kupitia kwa manabii wa kishikaji huu pia ni mmomonyoko wa maadili maana wananchi wanakuwa wanafiki kuendekeza dini za watu zisizo na mashiko kwetu mwisho wa siku taifa letu linabaki na wananchi mambumbumbu wasio na elimu ila wanaishi kimatumaini tu kwa kufuata dini za watu.Kwamba vigilantism ndiyo suluhisho la mmomonyoko wa maadili?
Mkuu unajua maana ya kufoka na kukosa adabu????Kwamba kwa sababu kuna viongozi na vijana wa hovyo kila sehemu basi juhudi za kurekebisha zifutiliwe mbali na kusahaulika kabisa?
Ukitambua kwamba hao Viongozi unaowalaumu ni zao halisi la jamii zetu utaelewa ni kwanini hiyo jamii ya hicho kijiji imechukua hatua hizo katika jitihada za kulinda maadili na Tamaduni zao.
Watanzania hawawezi kuwalaumu hao viongozi kwa maana wao na hao ni zao kutoka shamba moja japo mbegu tofauti.
Hatua ya hiyo jamii kusimamia Mila, Tamaduni na Maadili yao ni Nzuri mno na yenye kufaa kuigwa na kila mwenye upeo unaojitegemea na mwenye kutambua umuhimu wa kesho yetu iliyosafi na utaifa wetu kwa Umoja wetu mbali ya tofauti zetu za kikabila na kiImani.
Tujifunze kushirikiana katika kheri tunapopata japo kiongozi mmoja mwenye nia thabiti ya kushirikiana na sisi kuyafikia malengo yetu na ya jamii zetu.
PS; Tafadhali acha kumfokea Doctor Gwajima na hizo CAPS zako, kuwa na Adabu.
Inawezekana, mtu mzima na akili timamu unashinda msikitini siku nzima kuteta wanaume wenzako wanaofanya kazi ama kujituma, wewe unashindwa nini kufanya kazi? Au kwenda unashinda makanisani kulia na kuimba huna muda wa kutafuta kazi ukitegemea Yesu atakuja kukupa kazi kupitia kwa manabii wa kishikaji
Inawezekana, mtu mzima na akili timamu unashindaje msikitini siku nzima kuteta wanaume wenzako wanaofanya kazi ama kujituma, wewe unashindwa nini kufanya kazi? Au kwenda unashinda makanisani kulia na kuimba huna muda wa kutafuta kazi ukitegemea Yesu atakuja kukupa kazi kupitia kwa manabii wa kishikaji huu pia ni mmomonyoko wa maadili maana wananchi wanakuwa wanafiki kuendekeza dini za watu zisizo na mashiko kwetu mwisho wa siku taifa letu linabaki na wananchi mambumbumbu wasio na elimu ila wanaishi kimatumaini tu kwa kufuata dini za watu.
Asante kwa mchango wako Mkuu, nina swali kidogo hapa... kuna jamii ambazo wanavaa vipisi vya nguo kama utamaduni wao na husikii mambo ya kumomonyoka kwa madili wala vitendo vya ukatili... suala la kumsababishia mtu ushawishi sababu fulani kavaa nguo fupi au iliyochanwa sio kwamba inatumika kama kisingizio cha kuhalalisha vitendo vibaya kufanyika? Unatenda kosa na kumtupia mtu lawama kwa kushindwa kutuliza tamaa zako?Mkuu,
Asante mkuu kwa swali hili.Asante kwa mchango wako Mkuu, nina swali kidogo hapa... kuna jamii ambazo wanavaa vipisi vya nguo kama utamaduni wao na husikii mambo ya kumomonyoka kwa madili wala vitendo vya ukatili... suala la kumsababishia mtu ushawishi sababu fulani kavaa nguo fupi au iliyochanwa sio kwamba inatumika kama kisingizio cha kuhalalisha vitendo vibaya kufanyika? Unatenda kosa na kumtupia mtu lawama kwa kushindwa kutuliza tamaa zako?