Dkt. Gwajima D
Minister
- Nov 28, 2015
- 966
- 6,019
Ndugu yangu, ahsante kwa mchango wako kwenye mada hii. Ni Katika wadau tu kuchangia hoja mbalimbali ndiyo tutajenga jamii yetu kutazama mambo Kwa sura mbalimbali kulingana na mazingira.Kunyoa kiduku Ni chanzo cha kuporomoka maadili, wanyoa viduku ndio hao wavuta bangi na vibaka kutohusianisha hiyo staili na hizo tabia inakuwa ngumu, lakini Kama jamii imeliona hilo kuwa Ni chanzo wizara husika na sisi wasomi sasa ni kuunga mkono kwa hatua ya Kwanza kutoka hapo ndio ushauri na namna nyingine ifuatwe, wewe ulitaka waziri apinge? Ingekuwa ni namna ya kufisha juhudi za wananchi katika kuhakikisha jamiii inakuwa na maadili. Hivi kwa mawazo yako hivi huon Kama viduku na uvaaji wa nguo fupi pamoja na mambo mengine unachangia kuporomoka kwa maadili? Umewataja wamasai kwamba wananyoa kiduku hebu waza kwa sauti hao wamasai ushasikia ni vibaka? Wana namna yao ya kuhakikisha jamii yao ina maadili
Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app