Waziri Jafo asema atabandika majina hata ya wale waliojitoa na kura zitapigwa

Anatakiwa atangaze mgombea aliyechukua fomu ndie atangaze kujitoa sio Chama.Chama hakikuomba popote kugombea.Hivyo hakina mandate ya kusema kinajitoa kwani chenyewe ndicho kilijaza fomu kuomba kugombea?
Ni utaratibu wa kichama tuu ni kama nyie CCM mnavowalazimisha wagombea mnaowataka wapitishwe kugombania. Mwanachama ambae hatakua radhi kufuata maelekezo ya chama hatufai.
 
Mtu anasema nimejitoa, sitaki, wewe unasema nitakuweka kwa nguvu! Jafo, hivi unakosa kitu gani/unapata hasara gani/ipi mtu akijitoa?

Si wanapenda figisu kama Marekani na wakubwa wengine, sasa figisu si zimepelekea mpaka wanashinda kabla ya uchaguzi? Sasa si ndo ungekuwa wakati wa kujipongeza? Nawashangaa
 
Mzaramo J
Alichofanya ni kanuni moja ya kiintelejensia ambayo unamchanganya mtu katika kanuni, halafu akichanganyikiwa unamrudisha kwa kanuni hiyo hiyo lakini akiwa ameshapoteza ''morali''.
Amejivua lawama.
Naona kama hiyo mbinu imefeli
 
Ilani ya CCM inasema mwanafunzi wa kike akipata mimba akijifungua arudi shule

Jiwe anasema yeye hawezi kusomesha wazazi

Wewe unasimama upande wa chama au wa jiwe?

Huyu kwake sheria sio chochote bali mahaba ya jiwe kwake ndio sheria.
 
Mwanachama ambae hatakua radhi kufuata maelekezo ya chama hatufai.
Huu uchaguzi anatafutwa atakayewafaa wananchi wote sio wanachadema tu!!! Kama hawafai nyie wengine wanamtaka
 
Mzaramo J
Alichofanya ni kanuni moja ya kiintelejensia ambayo unamchanganya mtu katika kanuni, halafu akichanganyikiwa unamrudisha kwa kanuni hiyo hiyo lakini akiwa ameshapoteza ''morali''.
Amejivua lawama.
Wewe kichwani uko fit.
 
Haijatumika demokrasia kuwakataza watu wasigombee uongozi wa Serkali za mitaa

Mbowe ametumia ubabe
 
KITAKACHOTOKEA HAPO UTASIKIA RUFAA KARIBIA ZOTE ZIMEKUBALIWA. where are we going?
 
Uchaguzi umeshavurugwa bora ufutwe tu mchakato uanze upya!!
Hata ukifutwa mchakato, uanze upya haitasaidia kitu, kwani wao walishazoea hivyo, unadhania ni kwanini hawataki, wakurugenzi wasiwe wasimamizi wa chaguzi?? Bila tume huru ya uchaguzi itakuwa, maajabu utegemee matokeo tofauti wakati njia unayotumia ni ile ile!!!
 
Mzaramo J
Alichofanya ni kanuni moja ya kiintelejensia ambayo unamchanganya mtu katika kanuni, halafu akichanganyikiwa unamrudisha kwa kanuni hiyo hiyo lakini akiwa ameshapoteza ''morali''.
Amejivua lawama.
Ha ha haπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Anatakiwa atangaze mgombea aliyechukua fomu ndie atangaze kujitoa sio Chama.Chama hakikuomba popote kugombea.Hivyo hakina mandate ya kusema kinajitoa kwani chenyewe ndicho kilijaza fomu kuomba kugombea?
Kwani wagombea binafsi wameruhusiwa? Mbona mbunge akivuliwa uanachama automatic na ubunge anaachia. Rejea wabunge wa lipumba
 
Yalipotokea Zanzibar 2015 tulisema Zanzibar ni mbali sana hayatuhusu huku Bara. Sasa yanatokea bara. Sijui tutasemaje
 
Bashiru Ally alivyotangaza matokeo ya kura za maoni CCM kwa dar yamefutwa.

Jafo aliingilia kusema wamechaguliwa kihalali?

HESHIMUNI KAMATI KUU YA CHAMA
Huo ulikuwa uchaguzi wa. Ndani ya Chama Cha mapinduzi usichanganye masomo
 
Kwani wagombea binafsi wameruhusiwa? Mbona mbunge akivuliwa uanachama automatic na ubunge anaachia. Rejea wabunge wa lipumba
Zitto Kabwe alishindikana Chadema au hujui Hilo.

Hao wagombea waliopitishwa serikali za mitaa kugombea hawajavuliwa uanachama hivyo hiyo argument yako ha I apply
 
Kwanini anahanya?
 
Mtu anasema nimejitoa, sitaki, wewe unasema nitakuweka kwa nguvu! Jafo, hivi unakosa kitu gani/unapata hasara gani/ipi mtu akijitoa?
mla vya kunyonga hawezi kula vya kuchinja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…