Waziri Jafo asema atabandika majina hata ya wale waliojitoa na kura zitapigwa

Mzaramo J
Alichofanya ni kanuni moja ya kiintelejensia ambayo unamchanganya mtu katika kanuni, halafu akichanganyikiwa unamrudisha kwa kanuni hiyo hiyo lakini akiwa ameshapoteza ''morali''.
Amejivua lawama.
Watoto wa mtaani wanaita kata,funua halafu unafunika tena
 
jafoo watu wamejitoa,unawalazimisha heshimu uhuru wa watu,utawekaje majina yao ilihali mliwakata na wamesema hawashiriki uchaguzi
 
Anatakiwa atangaze mgombea aliyechukua fomu ndie atangaze kujitoa sio Chama.Chama hakikuomba popote kugombea.Hivyo hakina mandate ya kusema kinajitoa kwani chenyewe ndicho kilijaza fomu kuomba kugombea?

Huyo mgombea amejipeleka au amepelekwa na chama chake?. Kama alijipeleka kuchukua fomu basi sawa
 
Hamtaki competition,mkiachiwa uwanja mnalazamisha watu warudi uwanjani.
 
Baada ya kubandika majina kwa hata ya wale waliyojitoa...

Huku na huko, yule aliyejitoa ni mpinzani alafu akaibuka na kura nyingi, kwa maana kapita...

je watamtangaza kua mshindi?

Cc: mahondaw
Wataanza lugha mpya kama kwenye korosho na makinikia
 
Mzaramo J
Alichofanya ni kanuni moja ya kiintelejensia ambayo unamchanganya mtu katika kanuni, halafu akichanganyikiwa unamrudisha kwa kanuni hiyo hiyo lakini akiwa ameshapoteza ''morali''.
Amejivua lawama.

Pumba tu umeandika.
 
Mtu anasema nimejitoa, sitaki, wewe unasema nitakuweka kwa nguvu! Jafo, hivi unakosa kitu gani/unapata hasara gani/ipi mtu akijitoa?

Anaangalia ramani ya dunia itakuwa inasomwa vipi! Ni ramani feki au asilia?
 
Huyo mgombea anagombea kwa tiketi ya chama kipi? Kama hajaridhika na maamuzi ya chama ahame akagombee kwa tiketi ya chama kingine.
Anatakiwa atangaze mgombea aliyechukua fomu ndie atangaze kujitoa sio Chama.Chama hakikuomba popote kugombea.Hivyo hakina mandate ya kusema kinajitoa kwani chenyewe ndicho kilijaza fomu kuomba kugombea?
 
Sasa kama asilimia 96 % ya wagombea wa upinzani wakijaza fomu vibaya watafanya uchaguzi Kwa nguvu kwenye hizo asilimia 4 % au watasema Ghafla kuwa hawakukosea kujaza wafanye uchaguzi asilimia 100% ambao bado watu kujitokeza kupiga kura ni mitihani

Tunaonekana VITUKO na dunia !!!
 
Hatushangai huko kwenu hata marehemu hupiga kura.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…