Waziri Jafo sasa njia nyeupe kwenda Ikulu 2025

Mkuu,

Kitendo cha kumbashiria tu huyo jamaa mwenye maneno mengi na hisia za kulia za karibu tayari umeshaharibu moja kwa moja na kama mwenyewe akiona uzi huu ataona umeshamchuria kweupe.

Anyway, huyo hawezi kuwa Rais hifadhi dokezo hili!
 
Sijui in vigezo gani umeviangalia kwa Jaffo.
 
Hawa ni wapiga dili wote isipokuwa Mavunde
 
Kwahiyo unataka kuniambia tujiandae na misafara ya first lady wanne sio, maana jamaaa ana wake wanne sasa hiyo gharama itatoka kwenye hizi hizi kodi za maskini na wanyonge au itakuwaje? Hatutaki upuuzi huo kama kakutuma mwambie kuna uraisi wa TFF pia.
 
ukiona kijana mdogo ana wake 7 huyo hata kikao cha harusi hapaswi kuongoza
 
Na watahudumiwa wote wanne hadi kufa
 
Umenikumbusha kitabu kilichoitwa "NDOTO YA MWENDAWAZIMU!!" ghafla tu ni kama nimeliona hilo jalada lake nilipoona kichwa cha habari hapo juu!!!
 
Tupate wa kariba yake kama yeye yaani mkali,mtemi,ana upeo mkubwa, asiyeyumbishwa na siasa ndogo ndogo au faida ya muda mfupi,anayejua uchumi wa watu ni pamoja na kufanya gharama za uzalishaji kuwa ndogo kwa kujenga bwawa la umeme ili umeme uwe nafuu na kuvutia wawekezaji,
Kuweka miundombinu rahisi ya ndege,vivuko na barbara ili usafirishaji wa mazao na bidhaa uwe nafuu kwa wawekezaji.
Mwenye kujua hayo ni mtu aliyepita BOT kama Mwigulu nchemba,Ex DG wa TISS (inawezekana ni siri yake mwenyewe JPM kuwa akirudi amtengenezee njia).RC wa DAR wa Sasa.Waziri wa viwanda na biashara mr mwambe.
Mtazamo wangu tu.
 
Hakuna Rais Hapo kwani Rais ndo anachagua au wananchi?
 
Yaani hujui kwamba anaeandaliwa ni Mwinyi wa Zanzibar mbona iko wazi
 
Kwani Majaliwa hatajaliwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…