Waziri Jafo, siku nyingine uache kiherehere cha kufananisha Siasa na uweledi wa tiba za Kisayansi


Piga mawe hao wahuni walioshikiwa akili na jiwe, natamani na hao namba 1,2 au 3 mmoja apigwe kitu cha ukweli ili wajue kuwa wameshikiwa akili na mlevi wa madaraka.
 
Korona ni adui wa Kila mtu

Mpaka sasa, hakuna aliye salama!

Lakini labda tukumbushane tu, Mungu wetu ametupanda, na anapotaka kuvuna hahitaji kuuliza ni kivipi atavuna mazao yake,

Lakini ole wake asiyemcha yeye
 
Alafu WAKIFA wao wanataka yawe majonzi ya nchi nzima ila sisi tunazikana kimyakimya huku wakisema Hamna vifo.

Covid inatakiwa ipige hao wezi wa kura wote mpaka wachanganyikiwe. Watazikana wanaofaidika na fedha za umma.
 
Wanafuata matamko yatolewayo majukwaani na viongozi wenye mlengo wa kukataa uwepo wa hili janga na wao kuwaamini
Sasa maombi ya nini wanataka iwapo janga hakuna? Ni unafiki tu, wanakera sana. Lakini soon akili zitarudi.
 
Korona ni adui wa Kila mtu

Mpaka sasa, hakuna aliye salama!

Lakini labda tukumbushane tu, Mungu wetu ametupanda, na anapotaka kuvuna hahitaji kuuliza ni kivipi atavuna mazao yake,

Lakini ole wake asiyemcha yeye
Wapinzani hawaoni ajabu kufa, maana wasipokufa kwa corona watauliwa na watawala ili wakae madarakani kwa shuruti. Tunaomba corona itusaidie kuvuna hawa wezi wa kura.
 
Nadhani siku si nyingi mkulu atajirudia zake chato kwenye isolation mambo yamepamba moto.
 
Halafu eti kuna watu wanamuona anafaa kuwa Rais ....this is purely insanity...
 
Tetete alipeleka chanjo? mbona watu wake wa karibu ndiyo wanaondoka?
mnajadili kitu msichokijua ,kwa wale vichwa vya kupigwa jeki ,wanaunga tela.tusubili kidogo baadae mtakuja Hapa jamvini na kauli tofauti na mnavyopayuka leo.
 
Huu ni upepo tu nao utapita. Corona ipo lkn maisha yaendelee kama kawaida, ili tujenge her
 
welevu ndo wanao jua hili,bahati mbaya humu jf ni wachache sana.hawajui mpaka sasa chanjo zote bado ni trial & error.Hakuna chanjo ambayo imewahi kutengenezwa kwa muda wa miez ishirini ikawa na ufanisi!!! Kisayansi chanjo yenye ufanisi huchukua Hadi miez 60 kuitafiti.ndio maana hiz sijui Astra zenecca bado zina malalamiko mengi.mzazi mwelevu hawez kuiweka familia yake rehani kwa majaribio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…