Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
Tayaaaaar mkuuHii ngoma inatakiwa ipige juu pale ili watie akili waacha kuchezea afya za watanzania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tayaaaaar mkuuHii ngoma inatakiwa ipige juu pale ili watie akili waacha kuchezea afya za watanzania
Tayaaaaar mkuu
Wanafuata matamko yatolewayo majukwaani na viongozi wenye mlengo wa kukataa uwepo wa hili janga na wao kuwaaminiKwa mtazamo wako unadhani ni kwanini sasa hivi raia hawajali kama kama wewe?
Wewe badala ya Kumuambia wazi wazi Boss wako kuwa Tanzania sasa hali ni mbaya dhidi ya Corona ukaona utafute Sifa mbele yake kwa kuja na Upuuzi wako wa Nyungu Season Two.
Haya sasa hii Nyungu Season Two yako ndiyo inatufyeka kweli kweli na Safari hii ikipiga huko huko juu mliko na muda si mrefu itamgusa Namba 1, 2 au 3 ndipo mtatia Akili.
Na kama kweli nawe unaamini Nyungu yako mbona unaingia Ofisini Kwako kwa Machale huku muda mwingi ukiwa na wasiwasi wa Kupata Corona?
Na usijisahaulishe tafadhali kuna Watu ulikuwa nao Juzi na nyepe nyepe (za chini ) zinasema Mmoja wao sasa Kaburi analiona kwa mbali huku Mochwari ikimkaribisha.
Yaani Ugonjwa umshinde Mzungu halafu Mzaramo wa Kisarawe auweze? Kuna Watu mna Upuuzi kweli kweli Vichwani mwenu. Haya njoo sasa na Nyungu Season Three yako ili uondoke nayo vizuri.
WATU WANGU WANAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA... ajabu kweli kweli! Imepiga hodi rasmi HQ.
Wapate chanjo, na serekali inunue vifaa tiba viwepo kila hospitali.Ingelikuwa wewe ndiyo Jafo ungeshauri Watamzania wafanye nini?
Alafu WAKIFA wao wanataka yawe majonzi ya nchi nzima ila sisi tunazikana kimyakimya huku wakisema Hamna vifo.
Sasa maombi ya nini wanataka iwapo janga hakuna? Ni unafiki tu, wanakera sana. Lakini soon akili zitarudi.Wanafuata matamko yatolewayo majukwaani na viongozi wenye mlengo wa kukataa uwepo wa hili janga na wao kuwaamini
Wapinzani hawaoni ajabu kufa, maana wasipokufa kwa corona watauliwa na watawala ili wakae madarakani kwa shuruti. Tunaomba corona itusaidie kuvuna hawa wezi wa kura.Korona ni adui wa Kila mtu
Mpaka sasa, hakuna aliye salama!
Lakini labda tukumbushane tu, Mungu wetu ametupanda, na anapotaka kuvuna hahitaji kuuliza ni kivipi atavuna mazao yake,
Lakini ole wake asiyemcha yeye
Anajua fika mkuki kwa mfalme wa meza kwa yeye unaumaNa kama kweli nawe unaamini Nyungu yako mbona unaingia Ofisini Kwako kwa Machale huku muda mwingi ukiwa na wasiwasi wa Kupata Corona?
Halafu eti kuna watu wanamuona anafaa kuwa Rais ....this is purely insanity...Wewe badala ya Kumuambia wazi wazi Boss wako kuwa Tanzania sasa hali ni mbaya dhidi ya Corona ukaona utafute Sifa mbele yake kwa kuja na Upuuzi wako wa Nyungu Season Two.
Haya sasa hii Nyungu Season Two yako ndiyo inatufyeka kweli kweli na Safari hii ikipiga huko huko juu mliko na muda si mrefu itamgusa Namba 1, 2 au 3 ndipo mtatia Akili.
Na kama kweli nawe unaamini Nyungu yako mbona unaingia Ofisini Kwako kwa Machale huku muda mwingi ukiwa na wasiwasi wa Kupata Corona?
Na usijisahaulishe tafadhali kuna Watu ulikuwa nao Juzi na nyepe nyepe (za chini ) zinasema Mmoja wao sasa Kaburi analiona kwa mbali huku Mochwari ikimkaribisha.
Yaani Ugonjwa umshinde Mzungu halafu Mzaramo wa Kisarawe auweze? Kuna Watu mna Upuuzi kweli kweli Vichwani mwenu. Haya njoo sasa na Nyungu Season Three yako ili uondoke nayo vizuri.
mnajadili kitu msichokijua ,kwa wale vichwa vya kupigwa jeki ,wanaunga tela.tusubili kidogo baadae mtakuja Hapa jamvini na kauli tofauti na mnavyopayuka leo.Tetete alipeleka chanjo? mbona watu wake wa karibu ndiyo wanaondoka?
Acha uchawi wewe. Mtoto Mdogo unaombea watu wafeHii ngoma inatakiwa ipige juu pale ili watie akili waacha kuchezea afya za watanzania
Walimsimanga Prof. Bisanda. Kiko wapi sasa?Kinachoniuma hata walioamua kuchukua tahadhari waliwatweza kwa mamlaka yao.
Ulikua ukisogea anga za Magufuli na barakoa unaamriwa kuivua daah!
Wachawi ni wale wanaodanganya wenzao kuwa hakuna covid na nyungu ni tiba/kinga ya covidAcha uchawi wewe. Mtoto Mdogo unaombea watu wafe
welevu ndo wanao jua hili,bahati mbaya humu jf ni wachache sana.hawajui mpaka sasa chanjo zote bado ni trial & error.Hakuna chanjo ambayo imewahi kutengenezwa kwa muda wa miez ishirini ikawa na ufanisi!!! Kisayansi chanjo yenye ufanisi huchukua Hadi miez 60 kuitafiti.ndio maana hiz sijui Astra zenecca bado zina malalamiko mengi.mzazi mwelevu hawez kuiweka familia yake rehani kwa majaribio.Kwenye Corona kila tiba inayotajwa ni sehemu tu ya "trial n error"...
Hata hao wazungu hadi sasa hawana kinga, chanjo wala tiba iliyothibitika, wapo katika phase ya kujaribu...
Kwa lugha nyepesi, hadi sasa Covid-19 imeshakuwa nje ya uwezo wa mwanadamu kuikabili, it's so obvious that peeps will keep on dying...if the law of natural selection exists, then few will remain