Waziri Jafo, siku nyingine uache kiherehere cha kufananisha Siasa na uweledi wa tiba za Kisayansi

Ingelikuwa wewe ndiyo Jafo ungeshauri Watamzania wafanye nini?
Funga shule, ban matamasha, barakoa lazima, mikutano ban kubwa waambie watu corona hatari ni lazima tuchukuwe tahadhari kwa mujibu wa maelekezo ya wataalamu. bahati mbaya katibu wa wizara ya afya alikuwa busy kufanya kampeni hakuna wagonjwa mpaka mkata kubadili jina la ugonjwa changamoto ya kupumua na lile bwenyenye sijui Abbas liko busy sijui ugonjwa na UKUDO inasaadia nini. jinga kubwa lile
 
Wewe badala ya Kumuambia wazi wazi Boss wako kuwa Tanzania sasa hali ni mbaya dhidi ya Corona ukaona utafute Sifa mbele yake kwa kuja na Upuuzi wako wa Nyungu Season Two.

Haya sasa hii Nyungu Season Two yako ndiyo inatufyeka kweli kweli na Safari hii ikipiga huko huko juu mliko na muda si mrefu itamgusa Namba 1, 2 au 3 ndipo mtatia Akili.

Na kama kweli nawe unaamini Nyungu yako mbona unaingia Ofisini Kwako kwa Machale huku muda mwingi ukiwa na wasiwasi wa Kupata Corona?

Na usijisahaulishe tafadhali kuna Watu ulikuwa nao Juzi na nyepe nyepe ( za chini ) zinasema Mmoja wao sasa Kaburi analiona kwa mbali huku Mochwari ikimkaribisha.

Yaani Ugonjwa umshinde Mzungu halafu Mzaramo wa Kisarawe auweze? Kuna Watu mna Upuuzi kweli kweli Vichwani mwenu. Haya njoo sasa na Nyungu Season Three yako ili uondoke nayo vizuri.
Huyu namfananisha na Baba Levo anavyojikomba kwa Diamond,ovyo kabisa.
 
... Mkuu wewe ni mtaalamu wa kuzodoa! Tuliowategemea watuongeze kisayansi ndio hao wanakuwa zaidi ya wajinga! Inatia hasira kweli kweli.
Kama hii ndimu hapa
 
Ha ha ha mkuu umemnanga kweli, kwani nyungu saa hizi haisaidii kbs!?

Ila pamoja na hayo huu ugonjwa wa sasa hivi siyo masihara aisee na watu wengi wanauchukulia easy tu unapanda daladala hawana mask hawajali kbs mpk unajiuliza hawa watu wana shida gani yaani wao mpk waambiwe mvae mask ndiyo utawaona wanavaa ila mimi sijali sanitizer mfukoni mask usoni nyungu malimao tangawizi na maombi sisubirii tamko la yeyote afya yangu ni jukumu langu na si la yeyote
Kwa mtazamo wako unadhani ni kwanini sasa hivi raia hawajali kama kama wewe?
 
Funga shule, ban matamasha, barakoa lazima, mikutano ban kubwa waambie watu corona hatari ni lazima tuchukuwe tahadhari kwa mujibu wa maelekezo ya wataalamu. bahati mbaya katibu wa wizara ya afya alikuwa busy kufanya kampeni hakuna wagonjwa mpaka mkata kubadili jina la ugonjwa changamoto ya kupumua na lile bwenyenye sijui Abbas liko busy sijui ugonjwa na UKUDO inasaadia nini. jinga kubwa lile
Ao waliofanya hayo uliyoyaweka hapa matokeo yao unayajua?
 
Acha ujinga wewe, ungesema wasingefanya hayo unajuwa matokeo yangekuwa mabaya zaidi ha hayo unayoyaona. sasa wale waliofanya trend zinaenda chini sisi na kiburi chetu ndio tunalipa sasa. Hakuna sehmu wamesema ukifanya haya kutakuwa hakuna corona wala vifo wamesema itapuunguza kama walikuwa wafe 100 watakufa 20. Mambo ya afya waachiwe wataalamu wa afya watoe miongozo ya kitaalamu siasa zipelekwe sehemu yake sio kuingilia mambo yasiyokuwa ya kisiasa. liundwe jopo la ma Dr huru watoe ushauri huru na tuwasikilize.
 
Nimeipenda ulivyomalizia mkuu Kama DR Gwajima anaona tabu kuwasiliana na mkuu wake aunde tume huru ya madaktari watakao mshauri kipindi hiki
 
Ikipiga Seapiano
Ikipiga Mzaa Chema
Ikipiga Mhukumu Mkuu
Ikupiga Ngome
Ikipiga Dstv
Ikipiga E2
Akili zitawarudi
 
Huyu mbwiga namfananisha na Baba Levo anavyojikomba kwa Diamond,ovyo kabisa.
Ahahahaha una ugomvi gani na baba Levi na Diamond. Baba levo hata kama anajikomba kwa Diamond hatarishi maisha ya wengine, ni kwa ajili ya maslahi yake
 
Wale wote wanao mislead watanzania wanatakiwa wafungwe kwa kusababisha vifo!
Instagram media - CLJ5wszhIcH ( 750 X 640 ).jpg
 
Wewe badala ya Kumuambia wazi wazi Boss wako kuwa Tanzania sasa hali ni mbaya dhidi ya Corona ukaona utafute Sifa mbele yake kwa kuja na Upuuzi wako wa Nyungu Season Two.

Haya sasa hii Nyungu Season Two yako ndiyo inatufyeka kweli kweli na Safari hii ikipiga huko huko juu mliko na muda si mrefu itamgusa Namba 1, 2 au 3 ndipo mtatia Akili.

Na kama kweli nawe unaamini Nyungu yako mbona unaingia Ofisini Kwako kwa Machale huku muda mwingi ukiwa na wasiwasi wa Kupata Corona?

Na usijisahaulishe tafadhali kuna Watu ulikuwa nao Juzi na nyepe nyepe (za chini ) zinasema Mmoja wao sasa Kaburi analiona kwa mbali huku Mochwari ikimkaribisha.

Yaani Ugonjwa umshinde Mzungu halafu Mzaramo wa Kisarawe auweze? Kuna Watu mna Upuuzi kweli kweli Vichwani mwenu. Haya njoo sasa na Nyungu Season Three yako ili uondoke nayo vizuri.
Huku mwisho mwisho nimekuelewa sana.
Umeona like yangu huko?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom