Funga shule, ban matamasha, barakoa lazima, mikutano ban kubwa waambie watu corona hatari ni lazima tuchukuwe tahadhari kwa mujibu wa maelekezo ya wataalamu. bahati mbaya katibu wa wizara ya afya alikuwa busy kufanya kampeni hakuna wagonjwa mpaka mkata kubadili jina la ugonjwa changamoto ya kupumua na lile bwenyenye sijui Abbas liko busy sijui ugonjwa na UKUDO inasaadia nini. jinga kubwa lileIngelikuwa wewe ndiyo Jafo ungeshauri Watamzania wafanye nini?