Pre GE2025 Waziri Jafo: Zaidi ya Viwanda 28,000 Vimejengwa Ndani ya Miaka 4 ya Rais Samia.Ampongeza Kwa Kuleta Mageuzi Makubwa ya Uwekezaji

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mbona kwa hiyo number ya viwanda tungeshakuwa kama Norway ukiachana na idadi ya wiwanda vilivyokuwepo before
 
Viwanda vya mama πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://youtu.be/980dkUtURDM?feature=shared
 
Kaanza mambo ya kaijage kipindi cha JPM
 
Hawa Chawa wanakera mpaka basi wanasifu kupita kiasi.
 
Aisee hili taifa hili daaah. Majizi ccm ni laana kwa watanzania kama huyu mleta uzi sjui hata aibu haoni hv kweli tz imejenga viwanda elfu 30 vko wp na vnatengeneza nn na nn jamani au vina produce machawa maana sielewi huyu punguwani naye humu analeta takwimu za kizwazwa ili tukubali kweli taifa hli limejenga viwanda elfu 30 chn ya mama abdul wkt hata kiwanda cha soksi, sindano, stick hakuna sa hvyo ni vyann au ni vya magari.
 
Mmh,si nchi nzima ingekuwa inafuka moshi na full makelele ya mitambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…