Pre GE2025 Waziri Jafo: Zaidi ya Viwanda 28,000 Vimejengwa Ndani ya Miaka 4 ya Rais Samia.Ampongeza Kwa Kuleta Mageuzi Makubwa ya Uwekezaji

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nadhani tutakua na shida ya tafsiri ya kiwanda,
Viwanda elfu 30. Hata japani wangetusikia redioni. Lkn yote hii ni kujipalilia madaraka. Njaa mbaya sana
 
Vitakuwa vya cherehani, else tungekuwa kama china sahizi
Hivyo viwanda mnavyojinadi navyo nyie chawa viko mikoa gani? Au mnahesabu vibanda vya kukamua juice za miwa navyo kuwa viwanda?
Orodhisheni hivyo viwanda kwa mikoa ili watu wajiridhishe pasipo shaka kuwa Samia kweli amevutia wawekezaji nchini na sio kutuongezea deni la Taifa kwa kukopa kopa!
 
Kungekuwa na viwanda eflu 30 ,hakuna kijana angekosa kazi.
 
Huyu kenge, daaa, viwanda 30000!
Kweli, aliyeshiba hamjali mwenye njaa!
Kama kungekuwa, na viwanda hata 500,tusingekuwa, na, tatizo LA, ajira,
Hebu aweke ma CEO, CTO, na, ma engineer wa wili tu wa viwanda vipya vitano, kenge, pambaf kabisa
 
Miaka ya nyuma tulikuwa na viwanda vichache, na hela yetu ilikuwa na thamani.

Bidhaa zilikuwa zinajitangaza zenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…