maramojatu
JF-Expert Member
- Mar 16, 2012
- 1,749
- 2,319
Hii habari yako ni ya uongoWeka hapa takwimu Wacha ujinga View attachment 3254735
Una viwanda elfu 30 alafu una zalisha megawatts ambazo hazizidi hata elfu 4Nadhani tutakua na shida ya tafsiri ya kiwanda,
Viwanda elfu 30. Hata japani wangetusikia redioni. Lkn yote hii ni kujipalilia madaraka. Njaa mbaya sana
Alafu cha ajabu kuna watu wana-teteaviwanda 30,000 dah mbona kuna vitu vina chekesha sana
Vinataka kujengwa au vimeshajengwa????Nitajie viwanda japo 70 tu ?๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎ
Kwa hiyo Kila kijana ana sifa za kufanya kazi kiwandani?
Akili kizibo,viwanda vingi ni Capital intensive na sio Labour intensive wewe kubwa la manyumbu ๐๐
View: https://www.instagram.com/p/DFfnc09oQaI/?igsh=dGl0NXZuOHUwcnVh
Uzi umejaa viwanda Anza kuhesabu page 1 baada ya nyingineVinataka kujengwa au vimeshajengwa????Nitajie viwanda japo 70 tu ?
Yes sirAti viwanda 30,000!
Alitakiwa akwambie pia kwamba wewe ni mbumbumbu maana umeshikiwa akili.Alisema JPM kwamba Watanzania sio wajinga
Sio Kampeni kwani wewe huvioni viwanda?Kampeni zimeanza mapema sana...
Wanatetea nini? Kitu kinachoonekana kinahitaji utetezi kweli?Alafu cha ajabu kuna watu wana-tetea
Huyu bibi kwa kumpa sifa asizostahili hamjambo,Siasa ndio nini? Kwani Kuna awamu imewahi kuvutia uwekezaji mkubwa kama awamu ya 6 katika historia ya ๐น๐ฟ?
Hicho kiwanda au plant?Kwa Samia cherehani Wala karakana za uchomeleaji sio viwanda Bali viwanda vya ukweli kama hivi ๐ ๐
View: https://www.instagram.com/reel/DFvad7kN1Mp/?igsh=MXFuMjd5MW42MDhmcA==
Hii ni awamu ya 5 acheni kujisahaulishaSiasa ndio nini? Kwani Kuna awamu imewahi kuvutia uwekezaji mkubwa kama awamu ya 6 katika historia ya ๐น๐ฟ?
Viwanda 30000 Tanzania bado labda watoe tafsiri nyingine ya viwandaUnajua maana ya viwanda 30,000 wewe?
Vingejengwa 500 tu usingesikia kelele za vijana wasio na ajira!
Acheni propaganda za kijinga!
Unaweza kuviorodhesha hivyo viwanda japo 1000 tu mkuu ili nijibu hoja za watu huku mtaani?Sio Kampeni kwani wewe huvioni viwanda?