chamilo nicolous
JF-Expert Member
- Mar 10, 2016
- 2,097
- 1,457
Asovu mambo ya kitaifa ( waziri yupo kusimamia sera, na kusimamia ilani)Kwahiyo hiyo mitunhi ndiyo ulitaka iunganishie wateja umeme?
Mitungi ya gesi ata mimi naweza kufadhiri,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asovu mambo ya kitaifa ( waziri yupo kusimamia sera, na kusimamia ilani)Kwahiyo hiyo mitunhi ndiyo ulitaka iunganishie wateja umeme?
Siyo kila siku sera zinatungwa. Kuna muda wa kuzitekeleza sera zenyeweAsovu mambo ya kitaifa ( waziri yupo kusimamia sera, na kusimamia ilani)
Mitungi ya gesi ata mimi naweza kufadhiri,
Kuna muda huwa akili yako inaruka. Inahitaji uwe na PhD kujua watu wa vijijini walio wengi ni maskini hata Milo mitatu hawana uhakika nayo?Acha dharau kwa watanzania wenzako. Gharama nyingine za maisha unawasaidia wewe? Mbona mnatoa maneno ya kifedhuli kwa watanzania wenzenu kiasi hicho?
Aliyekwambia wewe ndiye wa hali ya juu kuliko wengine nani?
Gesi ikiisha atawanunulia ?Waziri wa Nishati, Januari Makamba aliwaahidi viongozi wa Umoja wa Wanawake wa Tanzania ( UWT) wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mara kuwapa mtaji wa mitungi ya gesi 300 kwa ajili ya kusambaza kwa wananchi kwa gharama nafuu ili waondokane na nishati chafu ya kupikia.
CHANZO: GAZETI LA MWANCHI JULAI 12,2022
Aache ujuha. Unagawa mtungi wa gesi wakati serkali haina hiyo gesi, inamaana anapanua soko la mfanyabishara wa gesi. Shwain.Mbona unatokwa povu bila sababu? Wewe ulitaka agawe uroda ili ulidhike? Acha chuki za kishetani. Utakufa siku si zako ndugu.
Januari peleka vifaa pale tarime DC tuliolipia tangu Desemba 2021 tuunganishiwe umeme. Acha hizi propaganda za kuwa marketing meneja Kama sio dream 2025.Yote kwa Yote tuishukuru CCM kea kuwajali wananchi wanyonge huko Vijijini
Ila I ya CCM inatekelezeka vizuri
Mungu wa mbinguni awabariki nyote
Yote kwa Yote tuishukuru CCM kea kuwajali wananchi wanyonge huko Vijijini
Ila I ya CCM inatekelezeka vizuri
Mungu wa mbinguni awabariki nyote
Wapi nilipolalamika?Mngeruhusu upinzani kila jiwe lingefunuliwa, sasa unalalamika kwa kunong'ona wakt task yako hapo dawatini ni kufifisha upinzani.
Waziri hasambazi umeme,rea iliasisiwa na mzee mkapa ikaendelezwa na waliomfuatia,makamba ni Waziri wa nishati,nishati si umeme tu,huko vijijini hawakupelekewa umeme ili wapikie,sera ya nchi ni kueneza gesi Kama maji ili kuokoa misituNa si ajabu vijiji hivi vilivyobakia vikamshinda kabisa, somehow Kalemani alifanya kazi nzuri sana.
Umewaza mbali sana kaka, ivi ni mitungi ya kampuni gani? Sijafatilia hata nimeona ni mauzauza ya wanasiasahivi kwa akili yako makamba amekurupuka tu aanze kugawa mitungi ya gesi out of love, bure bure tu? wenye akili wameshajua amegeuka kuwa marketing executive wa kampuni fulani ya gesi