Huwa unafuatilia bunge?Kiongozi anajenga mifumo, hakuna mfumo aliojenga mpaka sasa, angekuwa na mfumo, asingekuwa na haja ya kutembea mpaka vyumbani mwa watu.
and land justice, kama ilivyo haki yoyote ile, huwezi kuifanya kwa mfumo wa mob justice, unakusanya vijitu mtaani, unasikiliza unaamua, hakuna due process halali ya kisheria ambayo itafanya haki ionekane inatendeka. Kuna mahala atakutana na jambo, yeye binafsi atadhalilika, na serikali itadhalilika.
Kwa kesi ya kariakoo niko upande wa waziri, kama pale ni padogo hao watoto hao watoto wangetafuta pesa kwa jasho lao wakajenga madrasa sehemu nyingine, sio kuuza iliyopo.Ule msikiti wa kariakoo alitumia common sense gani? Yaani mtu ameshindwa mahakama zote, na pia anawadhulumu wenzake, wakamua wauze na waamishe wakfu sehemu ngingine kubwa zaidi na itakayokuwa inatumika na watoto wengi zaidi. Then unawaita matapeli. Sawa tuseme kwemye swala la wakfu walikosea, je alijioa muda wa kusoma hukumu ya hizo kesi ili ajue kwa nini huyo dada alishindwa?
Kutatua migogoro ni jambo jema sana, tatizo ni kwamba asiweke siasa kwenye utatuzi wa hiyo migogoro. Aache wataalamu wa wizara wafanye kazi. Yeye atengeneze paltform nzuri ya utatuzi wa migogoro
Kama kweli anatenda HAKI aje huku kimara atupe HAKI yetu sisi ambao tulibomolewa nyumba kinyume kabisa na order ya mahakama. Hapo ndio nitaamini anatenda haki
Jimbo gani tz lisilo oza?Jimboni kwake kuna oza
Mmasy kashauriwa aendelee na kesi zake, ila mule ndani atoke. Ataendelea na kesi akiwa guest houseSasa hii kesi inatatuliwa na waziri Slaa yeye kama nani, Mahakama?!
Mmasy kashauriwa aendelee na kesi zake, ila mule ndani atoke. Ataendelea na kesi akiwa guest houseSasa hii kesi inatatuliwa na waziri Slaa yeye kama nani, Mahakama?!
Anamobilize sheria ili kutatua migogoro lakini sio yeye kuwa hakimu.Commissioner wa ardhi na waziri husika, wanao uwezo kutatua migogoro ya ardhi kisheria kabisa,
Soma KAZI ya commissioner wa ardhi wa wizara ana majukumu yepi.
Waziri ana enforce sheria lakini hapaswi kuwa hakimu wa migogoro ya ardhi ni makosa makubwa na yanatokea kwa wajinga tu kama hapa Tanzania.Wwe lazima utakua ni mtoto wa Mmasi,maana akili zako ziko kama za Mmasi kubisha kila kitu anacho aambiwa na Mamlaka! Wwe Umeambiwa nenda.kasome hicho kifungu ,kusoma hujasoma lakini bado waleta ubishi! Kichwa kama guluguja!!
Huo ni ujinga unafanyaje maamuzi out of camera ili watu waendelee kukuhoji , anachofanya ndicho sahihi ndio maana nchii zilizoendelea ata mahakama inakuwa live, au vikao Kwa ajili ya kumbukumbu za baadaye.Sina shida ya yeye kama anachapa kazi, ila hakuna haja ya kusaka "cheap popularity" mara afanye kazi mbele ya kamera, kazi zake njema zitajitangaza haina haja kutangaza tangazaza.
Sheria na mamlaka yamempa nguvu iyo.Anamobilize sheria ili kutatua migogoro lakini sio yeye kuwa hakimu.
Hao ndg yangu watakupasua kichwa tu,wana vichwa vigumu kama vya guluguja hawaelewi mapema, wanaishi kwa kukariri, kesho hachelewi kusema huyo mke ulie nae siyo mke wako kwa kua Mahakama haijamuhizinisha kua mke wako!!Commissioner wa ardhi na waziri husika, wanao uwezo kutatua migogoro ya ardhi kisheria kabisa,
Soma KAZI ya commissioner wa ardhi wa wizara ana majukumu yepi.
Yeye anaamini migogoro yote inasuluhishwa court,Hao ndg yangu watakupasua kichwa tu,wana vichwa vigumu kama vya guluguja hawaelewi mapema, wanaishi kwa kukariri, kesho hachelewi kusema huyo mke ulie nae siyo mke wako kwa kua Mahakama haijamuhizinisha kua mke wako!!
Elewa neno 'enforce " na ndiyo waziri alichotimiza!! Asante sana kwa kuja na hilo neno,nilikua nalitafuta sana!!Waziri ana enforce sheria lakini hapaswi kuwa hakimu wa migogoro ya ardhi ni makosa makubwa na yanatokea kwa wajinga tu kama hapa Tanzania.
Tena kwa taarifa yako,Waziri anaweza akamuamlisha Commissioner wa Aridhi amshitaki Mmasi kwa kuleta taarifa za uwongo wizarani kwake! Mmasi kakalia kuti kavu ajipime! Hata Bank sasa wanaweza mshitaki Mmasi kwa kuwapelekea nyakara fake ya Mahakama ili kuchukua hati ya marehemu Bank!!Waziri ana enforce sheria lakini hapaswi kuwa hakimu wa migogoro ya ardhi ni makosa makubwa na yanatokea kwa wajinga tu kama hapa Tanzania.
Ndio anaweza kuamrisha commissioner amshtaki Mmasi lakini sio kuamua kesi yeye.Tena kwa taarifa yako,Waziri anaweza akamuamlisha Commissioner wa Aridhi amshitaki Mmasi kwa kuleta taarifa za uwongo wizarani kwake! Mmasi kakalia kuti kavu ajipime! Hata Bank sasa wanaweza mshitaki Mmasi kwa kuwapelekea nyakara fake ya Mahakama ili kuchukua hati ya marehemu Bank!!
Ukimpeleka mtu mahakamani umefanya sheria itumike, ume-enforce, lakini wewe hupaswi kuwa hakimu. Hakimu ana enforce katika level yake ambapo ana uwezo wa kutoa hukumu. Waziri hana uwezo wa kutoa hukumu kwenye kesi au mgogoro ambapo kuna pande mbili. Ingekuwa hivyo serikali isingekuwa inapelekeka mahakamani kwani wao wangetoa tu hukumu kwa washtaki wao. Watanzania mmezoea mambo ya kinyemela ndio maana mnawaona viongozi wetu wapo vizuri huku wakiboronga vibaya.Elewa neno 'enforce " na ndiyo waziri alichotimiza!! Asante sana kwa kuja na hilo neno,nilikua nalitafuta sana!!
Nguvu ya kuwa hakimu wa masuala ya ardhi? Hapana hakuna kitu kama hicho muwe waelewa watanzania. Waziri anaweza kusimamia masuala ya ardhi na migogoro itatuliwe kisheria lakini yeye sio mwamuzi wa nani ana haki au hatia, mwamuzi ni Mahakama!Sheria na mamlaka yamempa nguvu iyo.
Kwa iyo wewe unaamini mahakama inatenda haki au inafanya maamuzi ya kisheria.Nguvu ya kuwa hakimu wa masuala ya ardhi? Hapana hakuna kitu kama hicho muwe waelewa watanzania. Waziri anaweza kusimamia masuala ya ardhi na migogoro itatuliwe kisheria lakini yeye sio mwamuzi wa nani ana haki au hatia, mwamuzi ni Mahakama!
Akhaaa! Hata kama Mahakama haitendi haki, hakuna anayeruhusiwa kutoa hukumu kati ya pande mbili zinazozozana au kogombania haki flani, ni Mahakama pekee. Tunapaswa kurekebisha mfumo wetu wa haki kama tunaona hautendi haki na sio waziri kuingilia. Ndio maana CCM wanaingilia uchaguzi na kuamua nani ashinde na kwa kura ngapi na nyie watanzania mnaona poa tu. Watanzania wengi ni watu wasio na akili nzuri na wanyonge sana.Kwa iyo wewe unaamini mahakama inatenda haki au inafanya maamuzi ya kisheria.
Basi kama unaona waziri kavunja katiba,nenda Mahakamani kamshitaki,.alafu Mahakama ndiyo itasema kama kweli waziri ana.makosa,na siyo wwe.kutuaminisha utakavyo wwe!!Akhaaa! Hata kama Mahakama haitendi haki, hakuna anayeruhusiwa kutoa hukumu kati ya pande mbili zinazozozana au kogombania haki flani, ni Mahakama pekee. Tunapaswa kurekebisha mfumo wetu wa haki kama tunaona hautendi haki na sio waziri kuingilia. Ndio maana CCM wanaingilia uchaguzi na kuamua nani ashinde na kwa kura ngapi na nyie watanzania mnaona poa tu. Watanzania wengi ni watu wasio na akili nzuri na wanyonge sana.
Nilishadhulumiwa, nikaenda mahakamani, nikashindaKwahiyo kwakua hakuna ofisi iliyojengwa ndio raia wasipewe haki zao? Ushawahi dhulumiwa nyumba au kiwanja wewe? Inaumiza sana