Hivi ni kweli South Afrika na misri hawana hizi treni ?Waziri wa nishati mh Kalemani amesema Tanzania itakuwa ni nchi ya kwanza itakapoanza kuendesha treni ya umeme barani Afrika.
Kalemani alikuwa akikagua ujenzi wa reli ya SGR na miundombinu yake ya umeme na amesema Tanesco imetenga megawatt 70 kwa ajili ya mradi huo.
Ukaguzi huo umefanyika mjini Morogoro.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
mb.wa we, keng.e kabisa, wapi serikali imeshindwa kuendesha mradi wa mwendokasi? tatizo mnaishi kwa bibi zenu hadi mindevu inawatoka ndo madhara yake haya, fisi pori weMwendokasi yenyewe inawashinda, hiyo ndio mtaiweza?
Yaani wewe kenge na MANGUO YAKO ya Msaada toka Lumumba ndio unaguts za KUTUKANA mwenzako wewe pimbi ?mb.wa we, keng.e kabisa, wapi serikali imeshindwa kuendesha mradi wa mwendokasi? tatizo mnaishi kwa bibi zenu hadi mindevu inawatoka ndo madhara yake haya, fisi pori we
naweza kuongea na mwenyekiti wa chama chako sio wwYaani wewe kenge na MANGUO YAKO ya Msaada toka Lumumba ndio unaguts za KUTUKANA mwenzako wewe pimbi ?
Sura imekukakamaa kama makalio ya polepole View attachment 1691277
Since 1920'sNilisikia SA na Ethiopia kama tayari wanazo vile!
Kalemani alikuwa akikagua ujenzi wa reli ya SGR na miundombinu yake ya umeme na amesema Tanesco imetenga megawatt 70 kwa ajili ya mradi huo.
John asilimia 99.9% ni shida tupu ukweli unaujua we lumumbaHahahaaaa...... Bwashee umeumia sana!
Mambo mazuri mengi yanakuja.
He ! Kile kichaa chako kimeanza tena ?mb.wa we, keng.e kabisa, wapi serikali imeshindwa kuendesha mradi wa mwendokasi? tatizo mnaishi kwa bibi zenu hadi mindevu inawatoka ndo madhara yake haya, fisi pori we
So what ? wakati bado kuna shule tu zina madarasa ya udongo na wengine wanasomea chini ya miti.Waziri wa nishati mh Kalemani amesema Tanzania itakuwa ni nchi ya kwanza itakapoanza kuendesha treni ya umeme barani Afrika.
Kalemani alikuwa akikagua ujenzi wa reli ya SGR na miundombinu yake ya umeme na amesema Tanesco imetenga megawatt 70 kwa ajili ya mradi huo.
Ukaguzi huo umefanyika mjini Morogoro.
Chanzo: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
maji yapo mengi sana katika mabwa yetu ya kuzalisha umeme. ukame haujawahi kufanya maji hadi ya kuzalisha umeme yaishe. ile watu walikuwa wakifanya biashara zao za mafuta na majeneretor. wanafungulia maji makusudiKwa umeme wa maji? Na kiangazi chote hiki?
Hao wanaokufa kwa huduma za afya hata Marekani wapo. Marekani ndo kwanza wanazindia bima ya afya kwa wote ili kuondoka vifo vinavyotokana na kushindwa kupata huduma za afya.Sifa za kijinga wakati watu bado wanakufa kwa kukosa huduma za afya huku wengine waki-share maji na mifugo.
Mnakimbilia kutafuta sifa huku wananchi wanateseka.