Waziri Kalemani: Tanzania itakuwa nchi ya kwanza kuendesha treni ya umeme barani Afrika!

Waziri Kalemani: Tanzania itakuwa nchi ya kwanza kuendesha treni ya umeme barani Afrika!

Waziri wa nishati mh Kalemani amesema Tanzania itakuwa ni nchi ya kwanza itakapoanza kuendesha treni ya umeme barani Afrika.

Kalemani alikuwa akikagua ujenzi wa reli ya SGR na miundombinu yake ya umeme na amesema Tanesco imetenga megawatt 70 kwa ajili ya mradi huo.

Ukaguzi huo umefanyika mjini Morogoro.

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Hivi ni kweli South Afrika na misri hawana hizi treni ?
 
Mwendokasi yenyewe inawashinda, hiyo ndio mtaiweza?
mb.wa we, keng.e kabisa, wapi serikali imeshindwa kuendesha mradi wa mwendokasi? tatizo mnaishi kwa bibi zenu hadi mindevu inawatoka ndo madhara yake haya, fisi pori we
 
mb.wa we, keng.e kabisa, wapi serikali imeshindwa kuendesha mradi wa mwendokasi? tatizo mnaishi kwa bibi zenu hadi mindevu inawatoka ndo madhara yake haya, fisi pori we
Yaani wewe kenge na MANGUO YAKO ya Msaada toka Lumumba ndio unaguts za KUTUKANA mwenzako wewe pimbi ?
Sura imekukakamaa kama makalio ya polepole
JamiiForums75003855.jpg
 
Alafu kesho utakutana na magazeti yenye headline.." TANZANIA NCHI YA KWANZA AFRICA KUWA NA TRAIN ZA UMEME"
 
Kalemani alikuwa akikagua ujenzi wa reli ya SGR na miundombinu yake ya umeme na amesema Tanesco imetenga megawatt 70 kwa ajili ya mradi huo.

Mbona Tanseco wenyewe wapo hoi, nashauri hao mwendokasi wawe na kitengo chao cha power generation kutoka chanzo chao wenyewe wajitegemee kwa kila kitu ili wasiwe tegemezi, mfano mzuri ni TANWAT Njombe, hao Tanseco wameshindwa kuhudumia makazi na viwanda je mwendokasi wataiweza?
 
Akawadanganye hao hao wa ngosha atajaga kumilimo.
 
Kalemani aache kutulisha matango pori....Yaani sie tuwe wa kwanza kuwa na treni ya umeme kuliko kwa madiba?
 
Hivi wanaposema ni nchi ya kwanza wanatoa wapi hizi data?
S.Africa?
Ehiopia?
Morocco?
Egypt?
Wanasiasa ni watu hatari sana
 
Waziri wa nishati mh Kalemani amesema Tanzania itakuwa ni nchi ya kwanza itakapoanza kuendesha treni ya umeme barani Afrika.

Kalemani alikuwa akikagua ujenzi wa reli ya SGR na miundombinu yake ya umeme na amesema Tanesco imetenga megawatt 70 kwa ajili ya mradi huo.

Ukaguzi huo umefanyika mjini Morogoro.

Chanzo: ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
So what ? wakati bado kuna shule tu zina madarasa ya udongo na wengine wanasomea chini ya miti.
 
wewe uliyeleta hii thread una lengo la kumdhalilisha waziri.
embu niwekee hiyo video akisema hivyo.

waziri hawezi kuongea uongo wa namna hii, atajijengea kila jambo atakalofanya tusimuamini tena.
•naipongeza serikali kwa kufikia hatua hii, sasa tunaweza kucompete na waliotutangulia
 
Kwa umeme wa maji? Na kiangazi chote hiki?
maji yapo mengi sana katika mabwa yetu ya kuzalisha umeme. ukame haujawahi kufanya maji hadi ya kuzalisha umeme yaishe. ile watu walikuwa wakifanya biashara zao za mafuta na majeneretor. wanafungulia maji makusudi
 
Sifa za kijinga wakati watu bado wanakufa kwa kukosa huduma za afya huku wengine waki-share maji na mifugo.

Mnakimbilia kutafuta sifa huku wananchi wanateseka.
Hao wanaokufa kwa huduma za afya hata Marekani wapo. Marekani ndo kwanza wanazindia bima ya afya kwa wote ili kuondoka vifo vinavyotokana na kushindwa kupata huduma za afya.
 
Back
Top Bottom