Waziri Katambi aagiza Dudubaya akamatwe kwa kukaidi Wito wa Serikali

Kah yaaani KATAMBI NILIKUWA NAKUTETEA NA KUKUONA UPSTAIRS UKO SAWA KUMBE MKUUU NI EMPTY HEAD
 
Polisi wakikuita lazima wakuambie wanakuitia nini, inabidi wakuambie jambo mahususi wanalokuitia. Pia unaweza kwenda au kutokwenda, kama una kesi inapaswa wakukamate kwa kufuata utaratibu wa PGO.

Tusiwape polisi mamlaka wasiyokuwa nao, huo ndio mwanzo wa matumizi mabaya ya mamlaka. Nchi haipaswi kuendeshwa kama familia ya baba na watoto wadogo.
 
Mbona haya mambo kwa wengine hatuyaoni kah inatia kinyaaaaa kma kinyesi katambi kweli umekosa mambo ya kufanya kwenye wizara yako hyo mpka uanze na DUDU BAYA ETI JINAI KWANI inchi hiii
Ni fashion JINAI NA UGAIDI NDIO VITU VYA MSINGI DAHA KAMA UNASIKIA UNAJIDHALILISHA mdgo wangu acha hata hyo wizara kweli mbona kma unaivua nguo
 
Katambi acha kuendeshe serikali kwa MIHEMKO ,hauwezi kuwaita wasanii kwa jinai halafu kienyeji kienyeji ,ile hata mimi nisingekuja maana ningechukulia kama semina ,kama wana makosa ya jinai kwanini uwasamehe? Kama Dudubaya ana makosa mpelekeni mahakamani na ushahidi kisha mahakama ndiyo iseme ana hatia au lah.

Katambi UBWYB.
 
Sasa akamatwe kwa kosa gani
Kwa mujibu wa Katiba na sheria za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Waziri wa Mambo ya Ndani hana mamlaka ya kikatiba wala ya kisheria kuamuru polisi kumkamata mtu na kumweka rumande.

    • Nafasi ya Waziri: Waziri wa Mambo ya Ndani ni mtendaji wa kisiasa na mkuu wa kisiasa wa wizara hiyo, lakini sheria haijampa mamlaka ya kuingilia kati utendaji wa kiutendaji (operational duties) wa Jeshi la Polisi, ikiwemo kutoa amri za kukamata raia mmoja mmoja.
    Mamlaka ya kumkamata mtu yapo mikononi mwa askari polisi wenyewe pale wanapokuwa na sababu za msingi (reasonable grounds) au kwa kufuata amri au hati iliyotolewa na Mahakama (Arrest Warrant), na si kwa maelekezo ya mwanasiasa au Waziri.
    • Haki ya Uhuru: Ibara ya 15 ya Katiba ya Tanzania inalinda uhuru wa mtu binafsi na kupiga marufuku mtu yeyote kukamatwa, kufungiwa, au kuwekwa kizuizini nje ya utaratibu uliowekwa na sheria.
 

hawalazimiki kukwambia wanachokuitia, lazima uelewe kazi ya polisi ni kulinda usalama wa raia, hivyo kama wewe ni raia mwema kwa hali ya kawaida hauna cha kuhofia kwani ndiyo sehemu inayaopaswa kuwa salama klk zote kwa raia in theory at least na unapaswa kutii, usipotii kuna sheria inayowalinda kwa kukukamata na kukufungulia mashitaka ya kukaidi wito.
again sijui undani wa hiyo kesi, ila naongelea kiujumla polisi anaweza kumuita mtu yoyote yule kutaka ufike kituoni hiyo ni kawaida kabisa na ni dunia nzima na hawalazimiki kukwambia sababu ya kukuitia kabla ya kuripoti kuna wengine wanaweza kukwambia uwapigie simu na mkayamaliza kwenye simu au wengine wakataka ufike kituoni au hata wakatia timu kwako au ofisini lkn kuitikia wito siyo hiari ...
 
Waziri angebaki na mambo ya kisera. Kama Kuna uchunguzi police ndo waite watu. Na kama case ipo hatua za awali sana sio lazima kuujulisha umma umeita watu
 
Kazi kweli kweli.
 
Naona mmepata sababu ya kumuangamiza...
Huyu jamaa anahitaji msaada zaidi kuliko wanachotaka kumfanyia...
Tabia ya kupigisha watu cheche ni tabia mbovu sana....
Kwa hiyo dudubaya anapingana na Serikali....Katambi amekosea sana..
Ila muda utaamua
 
Dudubaya ameitwa na Katambi au Polisi?..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…