pointless
 
well done waziri Patrobas Katambi,

wenye dhamana ya umma na wananchi pekee ndio wapewe vibali, ruhusa na fursa ya kuongea na waTanzania waliowapa dhamana hiyo.

wanaharakati uchwara na vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi, hawana sababu hata moja ya kupewa nafasi ya kuporomosha matusi, kuomba kuchangiwa pesa kwajili ya kuendelea kutukana viongozi, kupiga porojo, upotoshaji, uongozi na uzushi nonsense dhidi ya serikali sikivu ya CCM na taifa kwa ujumla.

Hiyo ni hatua muhimu sana ya kendeleza na kutunza umoja na mshikamano miongoni mwa wananchi wa Tanzania.

I like that ndugu waziri πŸ”₯πŸ”₯πŸ‘Š
 
Hata wakipiga marufuku vyama vya siasa kufanya mikutano haitasaidia chochote kuhusu kuzuia matakwa ya wananchi.wananchi tunataka waliotekwa tujue wako wapi.Maandamano ya siku ya sabasaba yako palepale na tumejipanga sawasawa kuwaadabisha wagekaji wakiongozwa na kiongozi wao sa190
 
Kwanza kidato cha nne ulipata division ngap?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…