Waziri Katambi apiga marufuku mikutano ya siasa kwa vyama vyote
Ni aibu sana kwa wanasiasa kama Heche na Mnyika kujidai wana misuli ya kupambana na Sheria kwa kutegemea fedha na harakati za watetezi wa ushoga huko ulaya.
TII SHERIA BILA SHURUTI
Mavi ya mama yamepanda Hadi kichwani Sasa una rocha
 
Ni aibu sana kwa wanasiasa kama Heche na Mnyika kujidai wana misuli ya kupambana na Sheria kwa kutegemea fedha na harakati za watetezi wa ushoga huko ulaya.
TII SHERIA BILA SHURUTI
downloadfile-24.jpg

Lakn mashoga mnao huko ccm.
 
Kwa akili hizo za kimkundu za hao waseng€ ndio mnategemea MNA taifa ? Mtateseka sana
 
Vipi wapinzani, wanaharakati au raia wapenda haki kuliko kulalamika tuu, huu ni muda mzuri kufungua kesi tuone mahakama zetu kama zinafuata haki ili tuwaweke on record nao, hii amri ni uvunjaji wa sheria 💯, fungua kesi haraka sana
 
kwa kuwazuia vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi kuvuruga amani na usalama wa waTanzania wanajishughulusha na shughuli zao kila siku, ni hatua muafaka na muhimu sana kwa ustawi wa umoja na utulivu wa taifa letu gentleman.

Tunafaa kumpongeza na kumuombea zaidi waziri Patrobas Katambi, ili hatimae aendelee kuthubutu kuchukua hatua muafaka zaidi kwa maslahi mapana ya amani ya taifa letu 🐒
Pitia buku 7 lako boss ukanunue dagaa na mtindi 😁😁😁😁
 
Back
Top Bottom