100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
Ningemuuliza hata vitabu vitakatifu ni tujivitabu?Boss wao kasema Katiba ni kijitabu fulani tu hivi.
Hajui hako kakijitabu ka katiba ndiko kalimuweka pale...
Ningemuuliza hata vitabu vitakatifu ni tujivitabu?Boss wao kasema Katiba ni kijitabu fulani tu hivi.
Unampongeza Kwa CCM kufungiwa?Ninampongeza sana Waziri Katambi kwa kuchukua hatua haraka.
Acha utopolo ndugu yangu, katumia mamlaka gani kuzuia haki za kikatiba? Si angetunga tu sheria humo humo bungeni kuzuia hiyo mikutano? Nchi haiongozwi na matamko ya Bungeni, bali kwa misingi ya katiba na sheria tulizojiwekea... Period.well done waziri Patrobas Katambi,
wenye dhamana ya umma na wananchi pekee ndio wapewe vibali, ruhusa na fursa ya kuongea na waTanzania waliowapa dhamana hiyo.
wanaharakati uchwara na vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi, hawana sababu hata moja ya kupewa nafasi ya kuporomosha matusi, kuomba kuchangiwa pesa kwajili ya kuendelea kutukana viongozi, kupiga porojo, upotoshaji, uongozi na uzushi nonsense dhidi ya serikali sikivu ya CCM na taifa kwa ujumla.
Hiyo ni hatua muhimu sana ya kendeleza na kutunza umoja na mshikamano miongoni mwa wananchi wa Tanzania.
I like that ndugu waziri 🔥🔥👊
Kachukua hatua au katii maelekezo ya mamaakeNinampongeza sana Waziri Katambi kwa kuchukua hatua haraka.
I have the same thinking.........ila hawa wapumbavu CCM wamechokwa vibaya sana sipati picha siku za usoni hali itakuwaje.Wanataka kumuachia jamaa nn,
Wanaandaa mazingira mapema ya kuondoa Mikusanyiko ili akitoka asikusanye nyomi
Just thinking roud.
Atafanya mambo yapi mengine wakati hata kwenda gesti amekatazaMikutano ya ndani sio mbaya.
Ila ndio isiwe kila siku sasa.
Tuachie watu muda wa kufanya mambo mengine.
Gentleman,Acha utopolo ndugu yangu, katumia mamlaka gani kuzuia haki za kikatiba? Si angetunga tu sheria humo humo bungeni kuzuia hiyo mikutano? Nchi haiongozwi na matamko ya Bungeni, bali kwa misingi ya katiba na sheria tulizojiwekea... Period.
Tusiangakie urida TU, hapo KAZI wahamiaji haramuAtafanya mambo yapi mengine wakati hata kwenda gesti amekataza
Hakuna show time za gesti tena kama hauna NIDA nenda machakani hukoView attachment 3616224
kwa kuwazuia vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi kuvuruga amani na usalama wa waTanzania wanajishughulusha na shughuli zao kila siku, ni hatua muafaka na muhimu sana kwa ustawi wa umoja na utulivu wa taifa letu gentleman.Umoja na mshikamano Kwa watanzania Kwa kuzuia mikutano.
Hivi aisee una umri gani...kiasi kwamba hujui kuwa amani ya kwanza huwa inaondolewa na kuminya haki za watu....yaan mpaka sasa kama unaamini chama cha upinzani ndo kitaleta vurugu katka hii nchi basi umelala usingizi mzito...amkakwa kuwazuia vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi kuvuruga amani na usalama wa waTanzania wanajishughulusha na shughuli zao kila siku, ni hatua muafaka na muhimu sana kwa ustawi wa umoja na utulivu wa taifa letu gentleman.
Tunafaa kumpongeza na kumuombea zaidi waziri Patrobas Katambi, ili hatimae aendelee kuthubutu kuchukua hatua muafaka zaidi kwa maslahi mapana ya amani ya taifa letu 🐒