Sikuhizi anaishi masaki pembenii analindwa na ulinzi mkubwaTatizo
Huyu aliwahi kuwa Mwenyekiti taifa BAVICHA!
Eti watu wafanye kazi na biashara kwa utulivu!!Mbona hajaweka bayana sababu za Msingi za kupiga marufuku Mikutano ya kisiasa na je ametumia mamlaka gani kuagiza hayo?
Leo bungeni Waziri wa Mambo ya Ndani, Patrobas Katamb ameagiza Jeshi la Polisi kusitisha vibali vya mikutano ya siasa kwa kipindi kisichojulikana.
Moto umekuwa mkali na uwanja umeinama kwa upande wa CCM hadi kuomba tena Msaada wa jeshi la polisi , ingawa wananchi tuliwaonya CCM kuwa vita hii ya kubishana na CHADEMA mtaangukia pua lkn walibisha.
Waziri wa Mambo ya ndani, akiwa bungeni amesema
''Kwa sababu ya taharuki hizi ambazo zimekuwa zikiendelea, nitatumia fursa hii pia, Mheshimiwa Spika, kwa sababu tumekuwa tukisikia majibizano ya hapa na pale, kupitia Wizara ya Mambo ya Ndani ambayo ni custodian wa peace, order, and tranquility, kupitia Wizara ya Mambo ya Ndani ambayo tumepewa instrument na dhamana ya kusimamia amani, ulinzi na usalama, na kwa sababu chochezi wa mambo haya umeonekana zaidi kwenye maeneo ya kisiasa.
Ameongeza, kupitia Bunge lako tukufu, namuelekeza IGP Wambura asitoe vibali kwa kazi zozote zitakazokuwa zinahusiana na kufanya mikutano ya hadhara katika kipindi hiki kwa chama chochote, iwe Chama cha Mapinduzi, iwe chama chochote kile kwa kipindi hiki.
Amemalizia kwa kushauri 'Ni vizuri turudi katika kuwaruhusu wananchi wajenge uchumi wa nchi yao. Ni katika kipindi ambacho tunahitaji kufanya kazi kwa ajili ya kuhakikisha kila Mtanzania, wafanyabiashara, wawekezaji, wanafanya kazi yao kwa amani na utulivu. Nafanya hivi, Mheshimiwa Spika, kwa sababu katika mazingira haya, tutakapokuwa tunawatafuta wahalifu, ni ngumu kuchambua wahalifu kwenye mkusanyiko ya watu wengi."
Na wewe ajila imekomaSAFI SANA 👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼
Huu ni muda wa kufanya kazi siyo kuzurula mitaani
Kwani mwanzo hata kabla ya Chadema kuanza mikutano Kihongozi (ccm) hawakuona hilo la kufanya kazi wao wakaanza kupuyanga na mikutano yao. Wamezidiwa sasa ndiyo wanaona.SAFI SANA 👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼
Huu ni muda wa kufanya kazi siyo kuzurula mitaani
Hicho 'kijitabu' kisikusumbue...Katiba Ibara ya ngapi inampa waziri madaraka hayo??
Leo bungeni Waziri wa Mambo ya Ndani, Patrobas Katamb ameagiza Jeshi la Polisi kusitisha vibali vya mikutano ya siasa kwa kipindi kisichojulikana.
Moto umekuwa mkali na uwanja umeinama kwa upande wa CCM hadi kuomba tena Msaada wa jeshi la polisi , ingawa wananchi tuliwaonya CCM kuwa vita hii ya kubishana na CHADEMA mtaangukia pua lkn walibisha.
Waziri wa Mambo ya ndani, akiwa bungeni amesema
''Kwa sababu ya taharuki hizi ambazo zimekuwa zikiendelea, nitatumia fursa hii pia, Mheshimiwa Spika, kwa sababu tumekuwa tukisikia majibizano ya hapa na pale, kupitia Wizara ya Mambo ya Ndani ambayo ni custodian wa peace, order, and tranquility, kupitia Wizara ya Mambo ya Ndani ambayo tumepewa instrument na dhamana ya kusimamia amani, ulinzi na usalama, na kwa sababu chochezi wa mambo haya umeonekana zaidi kwenye maeneo ya kisiasa.
Ameongeza, kupitia Bunge lako tukufu, namuelekeza IGP Wambura asitoe vibali kwa kazi zozote zitakazokuwa zinahusiana na kufanya mikutano ya hadhara katika kipindi hiki kwa chama chochote, iwe Chama cha Mapinduzi, iwe chama chochote kile kwa kipindi hiki.
Amemalizia kwa kushauri 'Ni vizuri turudi katika kuwaruhusu wananchi wajenge uchumi wa nchi yao. Ni katika kipindi ambacho tunahitaji kufanya kazi kwa ajili ya kuhakikisha kila Mtanzania, wafanyabiashara, wawekezaji, wanafanya kazi yao kwa amani na utulivu. Nafanya hivi, Mheshimiwa Spika, kwa sababu katika mazingira haya, tutakapokuwa tunawatafuta wahalifu, ni ngumu kuchambua wahalifu kwenye mkusanyiko ya watu wengi.
Katiba ndivyo inasema?Jana nilikuwa nawaza kitu kama hicho kwamba ni ujinga kuacha watu wanajazana kwenye mikutano ya siasa isiyo na tija badala ya kufanya kazi.
Muda wa maneno ulishaisha baada ya Uchaguzi,mbaya zaidi kina Heche wanatukana na kukashifu viongozi.
Worse enough wanahamasisha vurugu.
Iwe ni marufuku Kwa mikutano ya siasa Hadi 2030,Nchi zetu hazihitaji maneno zinahitaji kufanya kazi ndio maendeleo yatakuja.
Boss wao kasema Katiba ni kijitabu fulani tu hivi.Katiba ndivyo inasema?
Kwenye kampeni mnawaweka ndani..