Waziri Katambi apiga marufuku mikutano ya siasa kwa vyama vyote
Siku isiyo na jina hata wawambie watu wakae ndani hawatokaa tena.

Nawazaga siku itafika ile bendera ya Tanzania itachorwa mstari mwekundu yani itabadilishwa.

Hebu haya yasubiri kwnza nizeeke... Maana ni lazima tu yatakuja kwa uongozi huu wa mabavu kama wasipobadilika wakaongoza watu kwa akili...Wanaharibu zaidi
 
Je kwa siasa za kimataifa agizo hili halina athari kwa nchi?
 
Kabisa hata mikutano ya waziri mkuu nayo ifutwe, hakuna mtu kuongea siasa wote tukae kimya

Niliwahi kushauri kuwa mfumo wa vyama vingi ufutwe,

Ccm hawawezi siasa za vyama vingi hawana hoja, hawana watu wa kujibu hoja

Mara mia gentleman wangekupa uenezi atleast unajua kuwasilisha hoja zikaeleweka
ok.🐒
 
Jibu swali ndugu yangu, hayo mamlaka ya kuzuia haki zilizomo kwenye katiba , nani kampa na au kayatoa wapi? Nchi imekuwa ya matamko sana hii, creating chaos zisizo na msingi... watu wakiingia msituni , wapenda amani na haki tutakimbilia wapi?
Yes,
mamlaka hayo yapo na ana wajibu huo kisheria.

na ikiwa vinginevyo,
si muendelee basi na mikutano yenu ya kuporomosha matusi kuliko kumbwelambwela jukwaani na kutafuta public sympathy?🐒
 
CHADEMA wamepigwa ya chembe

NGUMI MOJA TU CHALIIII

CHEZEA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
 
Tuiikuwa tunafahamu kwa muitikio ule wa wananchi kwenye mikutano ya CHADEMA lazima CCM watumie dola kupiga marufuku mikutano
 
CHADEMA wamepigwa ya chembe

NGUMI MOJA TU CHALIIII

CHEZEA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
We Mdogoe haya mambo kuyafuatilia bado mdogo nakushauri endelea kuchezea kisimi cha mama yako tu..
 
Leo bungeni Waziri wa Mambo ya Ndani, Patrobas Katamb ameagiza Jeshi la Polisi kusitisha vibali vya mikutano ya siasa kwa kipindi kisichojulikana.

Moto umekuwa mkali na uwanja umeinama kwa upande wa CCM hadi kuomba tena Msaada wa jeshi la polisi , ingawa wananchi tuliwaonya CCM kuwa vita hii ya kubishana na CHADEMA mtaangukia pua lkn walibisha.


Waziri wa Mambo ya ndani, akiwa bungeni amesema

''Kwa sababu ya taharuki hizi ambazo zimekuwa zikiendelea, nitatumia fursa hii pia, Mheshimiwa Spika, kwa sababu tumekuwa tukisikia majibizano ya hapa na pale, kupitia Wizara ya Mambo ya Ndani ambayo ni custodian wa peace, order, and tranquility, kupitia Wizara ya Mambo ya Ndani ambayo tumepewa instrument na dhamana ya kusimamia amani, ulinzi na usalama, na kwa sababu chochezi wa mambo haya umeonekana zaidi kwenye maeneo ya kisiasa.

Ameongeza, kupitia Bunge lako tukufu, namuelekeza IGP Wambura asitoe vibali kwa kazi zozote zitakazokuwa zinahusiana na kufanya mikutano ya hadhara katika kipindi hiki kwa chama chochote, iwe Chama cha Mapinduzi, iwe chama chochote kile kwa kipindi hiki.

Amemalizia kwa kushauri 'Ni vizuri turudi katika kuwaruhusu wananchi wajenge uchumi wa nchi yao. Ni katika kipindi ambacho tunahitaji kufanya kazi kwa ajili ya kuhakikisha kila Mtanzania, wafanyabiashara, wawekezaji, wanafanya kazi yao kwa amani na utulivu. Nafanya hivi, Mheshimiwa Spika, kwa sababu katika mazingira haya, tutakapokuwa tunawatafuta wahalifu, ni ngumu kuchambua wahalifu kwenye mkusanyiko ya watu wengi."

Pia soma
Mahakamani - kuomba ruhusa ya kuwasilisha maombi ya kupinga kauli ya waziri (uamuzi unatakiwa utoke ndani ya siku 14 toka tarehe ya kuwasilisha ombi la ruhusa)

Hapa anayewasilisha maombi anaweza kusikilizwq peke yake (ex parte)

Baada ya kupata ruhusa, maombi ya kupinga tamko (certiorari), nayo yanachukua muda mfupi tu, ikiwa ni pamoja na wajibu maombi (ndugu waziri na wenzake) kuwasilisha kiapo kinzani na mapingamizi yao ndani ya siku 14, baada ya hapo ni kusikiliza mapingamizi (siku 1 tu na uamuzi hata kesho yake) na baadae kama yakiwa hayana mashiko, ni siku 3 kusikiliza maombi yenyewe ya Judicial Review..

Kwa hiyo mchakato wote hauzidi wiki 3 kama watu wote pamoja na mahakama wakiwa serious
 
Yes,
yapo na ana wajibu huo.

na ikiwa vinginevyo,
si muendelee na mikutano yenu ya kuporomosha matusi kuliko kumbwelambwela jukwaani na kutafuta public sympathy?🐒
Taja kipengere cha katiba au sheria kinacho mpa malaka hayo...mimi siko huko kwenye matukio... nipo hapa kijiji cha Majimoto, wilaya ya Serengeti, Mkoa wa Mara, jilani kabisa na Mesagha, kwenye migodi ya dhahabu unayozungumzia? Mwigulu Nchemba naye anayataJa maneno hayo hayo yanayo tajwa na wapinzani wa serikali yake...sasa kosa ni nini? Acheni kurusha mawe wakati munaishi kwenye nyumba za vioo...
 
kinyago hiki kimechongwa na CHADEMA wenyewe.
Hiki kimepewa maelekezo
 
Taja kipengere cha katiba au sheria kinacho mpa malaka hayo...mimi siko huko kwenye matukio... nipo hapa kijiji cha Majimoto, wilaya ya Serengeti, Mkoa wa Mara, jilani kabisa na Mesagha, kwenye migodi ya dhahabu na tunamsubiria Mwigulu nchemba aje wiki kesho wilani kwetu... kama ni matusi, yatake, ni matus9 gani hayo unayozungumzia? Mwigulu nche,ba naye anayatakja maneno hayo hayp yanayo tajwa na wapinzani wa serikali yake..sasa kosa ni nini? Acheni kurusha mawe wakati munaishi kwenye nyumba za vioo...
Gentleman,
ikiwa unadhani jambo hili haliko kisheria, kulikoni uufyate mkia? si uendelee na mikutano yako ya uchochezi?
Au uje na katiba kwenye hiyo mikutano ya kulazimisha, polisi watakuelekeza ni wapi sheria ipo kwa virungu.

In fact wanaruhusiwa kufanya mikutano ya hadhara ya kisiasa,
ni wale tu waliochaguliwa na wapiga kura na wenye dhamana za wananchi kama vile wenyeviti wa vitongoji, vijiji na mitaa.
Madiwani, wabunge na watendaji wote wa umma wa waTanzania. Full stop.🐒
 
Gentleman,
ikiwa unadhani jambo hili haliko kisheria, kulikoni uufyate mkia? si uendelee na mikutano yako ya uchochezi?
Au uje na katiba kwenye hiyo mikutano ya kulazimisha, polisi watakuelekeza ni wapi sheria ipo kwa virungu.

In fact wanaruhusiwa kufanya mikutano ya hadhara ya kisiasa,
ni wale tu waliochaguliwa na wapiga kura na wenye dhamana za wananchi kama vile wenyeviti wa vitongoji, vijiji na mitaa.
Madiwani, wabunge na watendaji wote wa umma wa waTanzania. Full stop.🐒
Kasome sheria ya vyama vya siasa kwanza
 
Waendelee kushangilia TANZANIA kuwekewa vikwazo 🤠🤠

Yani sisi kunyimwa pesa uko Ulaya mnashangailia🫎🫎🫎

Alafu mnaenda kufanya mikusanyiko yenye kuitaji ulinzi Police wanalipwa na Bajeti ya TANZANIA iyo iyo🫎🫎🫎

ulinzi wenyewe ukuwezeshe wewe Chademo kukusanya pesa kutumia FUSO pesa za Wananchi wa Tanzania 🇹🇿

Sasa nyie si mmemwaga Ugali uko Ulaya tunyimwe pesa 👈

Nanyinyi mkae mbali na Wananchi wetu tone tone ❌️Marufuku ✍️

Nendeni tena kwa MAZUNGU yenu kulia lia🫎🫎🤠🤠
 
Kasome sheria ya vyama vya siasa kwanza
Gentleman,
narudia kueleza tena,

wanapostahili kufanya mikutano ya hadhara ya kisiasa, ni wale tu waliochaguliwa na wapiga kura na kupewa dhamana na nafasi za uongozi, ikiwa ni pamoja na wenyeviti wa vitongoji, vijiji na mitaa, madiwani, wabunge na watendaji wote wa umma wa waTanzania, full stop 🐒
 
Back
Top Bottom