Waziri Katambi apiga marufuku mikutano ya siasa kwa vyama vyote
Leo bungeni Waziri wa Mambo ya Ndani, Patrobas Katamb ameagiza Jeshi la Polisi kusitisha vibali vya mikutano ya siasa kwa kipindi kisichojulikana.

Moto umekuwa mkali na uwanja umeinama kwa upande wa CCM hadi kuomba tena Msaada wa jeshi la polisi , ingawa wananchi tuliwaonya CCM kuwa vita hii ya kubishana na CHADEMA mtaangukia pua lkn walibisha.


Waziri wa Mambo ya ndani, akiwa bungeni amesema

''Kwa sababu ya taharuki hizi ambazo zimekuwa zikiendelea, nitatumia fursa hii pia, Mheshimiwa Spika, kwa sababu tumekuwa tukisikia majibizano ya hapa na pale, kupitia Wizara ya Mambo ya Ndani ambayo ni custodian wa peace, order, and tranquility, kupitia Wizara ya Mambo ya Ndani ambayo tumepewa instrument na dhamana ya kusimamia amani, ulinzi na usalama, na kwa sababu chochezi wa mambo haya umeonekana zaidi kwenye maeneo ya kisiasa.

Ameongeza, kupitia Bunge lako tukufu, namuelekeza IGP Wambura asitoe vibali kwa kazi zozote zitakazokuwa zinahusiana na kufanya mikutano ya hadhara katika kipindi hiki kwa chama chochote, iwe Chama cha Mapinduzi, iwe chama chochote kile kwa kipindi hiki.

Amemalizia kwa kushauri 'Ni vizuri turudi katika kuwaruhusu wananchi wajenge uchumi wa nchi yao. Ni katika kipindi ambacho tunahitaji kufanya kazi kwa ajili ya kuhakikisha kila Mtanzania, wafanyabiashara, wawekezaji, wanafanya kazi yao kwa amani na utulivu. Nafanya hivi, Mheshimiwa Spika, kwa sababu katika mazingira haya, tutakapokuwa tunawatafuta wahalifu, ni ngumu kuchambua wahalifu kwenye mkusanyiko ya watu wengi."

Pia soma
CCM wame "pre-empty" kishindo cha wakoma, "back to back" ya CDM ya tone tone imewafanya watafute jinsi ya kupumua kupitia amri haramu ya nguchiro Katambi.
 
Kulingana na maoni mbalimbali yanayotolewa chini ya huu uzi inaonekana wazi kabisa kwamba idadi ya machawa inazidi kupungua kila siku na kuna dalili kwamba huko tuendako huenda wakapotea kabisa.

Kila uchao idadi ya watanganyika wanaojitambua inazidi kuongezeka.👏👏👏
 
Waendelee kushangilia TANZANIA kuwekewa vikwazo 🤠🤠

Yani sisi kunyimwa pesa uko Ulaya mnashangailia🫎🫎🫎

Alafu mnaenda kufanya mikusanyiko yenye kuitaji ulinzi Police wanalipwa na Bajeti ya TANZANIA iyo iyo🫎🫎🫎

ulinzi wenyewe ukuwezeshe wewe Chademo kukusanya pesa kutumia FUSO pesa za Wananchi wa Tanzania 🇹🇿

Sasa nyie si mmemwaga Ugali uko Ulaya tunyimwe pesa 👈

Nanyinyi mkae mbali na Wananchi wetu tone tone ❌️Marufuku ✍️

Nendeni tena kwa MAZUNGU yenu kulia lia🫎🫎🤠🤠
Nini kimepelekea sisi kuwekewa vikwazo?
 
Huyo hapo kabla hajajitoa akili
 

Attachments

  • VID-20260626-WA0009.mp4
    5.5 MB
Anadai hawawezi au haitakua rahisi kukamata wahalifu kwenye mikusanyiko ya watu wengi! Toka lini wahalifu wanatafutwa na kukamatwa kwenye mikitano ya kisiasa?! Lakini pia wameshawakamata watu na madumu ya petroli na silaha?! Hivi huyu Mh. Waziri yuko sawa kichwani?!
 
Kakatambi uwezo wa kukachukua na kukapiga kata funua tena kakiwa na walinzi wake kwangu wala siyo ishu. Tutafanya mikutano na maandamano. Tulimfukuza muliro kwake kaje kuwa kakatambi
 
Hata ingekuwa wana akili wasingekubali hali kama hii! Hizi ni dalili za kifo chao.
 

Attachments

  • VID-20260626-WA0023.mp4
    12.5 MB
Back
Top Bottom