instinct desire
JF-Expert Member
- Mar 17, 2026
- 2,503
- 1,757
Uzalendo kwanzaMzee zamu hii naona umepigwa na package nzuri na mamaduro, sio kwa kujituma namna hii!
Ungekuwa na bidii hivi ulipokua shule miaka ile ungekuwa na degree safi kabisa na ofisi nzuri sana sasa hivi na uchawa ungekuwa kwa mbaaali, ila ndio too late sasa!
Tushee bia kadhaa basi si unajua jf ni dugu moya!