Aliyekukataza usifanye kazi ni nani?SAFI SANA 👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼
Huu ni muda wa kufanya kazi siyo kuzurula mitaani
Kweli Samia ni jeuri. Hajali ht vikwazo vya mabeberu!Leo bungeni Waziri wa Mambo ya Ndani, Patrobas Katamb ameagiza Jeshi la Polisi kusitisha vibali vya mikutano ya siasa kwa kipindi kisichojulikana.
Moto umekuwa mkali na uwanja umeinama kwa upande wa CCM hadi kuomba tena Msaada wa jeshi la polisi , ingawa wananchi tuliwaonya CCM kuwa vita hii ya kubishana na CHADEMA mtaangukia pua lkn walibisha.
Waziri wa Mambo ya ndani, akiwa bungeni amesema
''Kwa sababu ya taharuki hizi ambazo zimekuwa zikiendelea, nitatumia fursa hii pia, Mheshimiwa Spika, kwa sababu tumekuwa tukisikia majibizano ya hapa na pale, kupitia Wizara ya Mambo ya Ndani ambayo ni custodian wa peace, order, and tranquility, kupitia Wizara ya Mambo ya Ndani ambayo tumepewa instrument na dhamana ya kusimamia amani, ulinzi na usalama, na kwa sababu chochezi wa mambo haya umeonekana zaidi kwenye maeneo ya kisiasa.
Ameongeza, kupitia Bunge lako tukufu, namuelekeza IGP Wambura asitoe vibali kwa kazi zozote zitakazokuwa zinahusiana na kufanya mikutano ya hadhara katika kipindi hiki kwa chama chochote, iwe Chama cha Mapinduzi, iwe chama chochote kile kwa kipindi hiki.
Amemalizia kwa kushauri 'Ni vizuri turudi katika kuwaruhusu wananchi wajenge uchumi wa nchi yao. Ni katika kipindi ambacho tunahitaji kufanya kazi kwa ajili ya kuhakikisha kila Mtanzania, wafanyabiashara, wawekezaji, wanafanya kazi yao kwa amani na utulivu. Nafanya hivi, Mheshimiwa Spika, kwa sababu katika mazingira haya, tutakapokuwa tunawatafuta wahalifu, ni ngumu kuchambua wahalifu kwenye mkusanyiko ya watu wengi."
Pia soma
Polisi wajitafakari. Urafiki na wanasiasa haudumu
Kitambi! HANA uwezo huo, subiri kimbungaAione kwa hasira Erythrocyte
Hali ilikuwa mbaya...Choma Choma Mpaka Imebidi Government Iombe Poo Vinginevyo Inazidi Kuvuliwa Nguo Hadharani Watu Wanaona
Bila Police Hawatoboi Popote Pale
Kwa sasa zoezi litaenda kwa haki STOP-MEAN-STOP-FOR-ALL-PARTY.Mnataka siasa zifanyike kipindi cha uchaguzi tu.
Kwani kazi za vyama vya siasa ni nini?, nyie Ccm mtaweza kutekeleza hilo?...
JPM alitangaza hilo zuio pia, ila tulishuhudia chama chake pekee kikifanya siasa huku wengine wakipigwa 'stop', naona mmeamua kurudia hilo.
Lione nalo hili! [emoji2962]SAFI SANA [emoji1376][emoji1376][emoji1376][emoji1376]
Huu ni muda wa kufanya kazi siyo kuzurula mitaani
Chama cha Mambuzi na Mbuzi wenyewe ndio nyinyi sasa.SAFI SANA 👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼
Huu ni muda wa kufanya kazi siyo kuzurula mitaani
sasa huo ni udikikteta wenyewe... hata dingi ndani ya nyumba huwa anapingwa na kuwasikiliza vijana wake... serikali sio dingi wangu...Gentleman,
ikiwa unadhani jambo hili haliko kisheria, kulikoni uufyate mkia? si uendelee na mikutano yako ya uchochezi?
Au uje na katiba kwenye hiyo mikutano ya kulazimisha, polisi watakuelekeza ni wapi sheria ipo kwa virungu.
In fact wanaruhusiwa kufanya mikutano ya hadhara ya kisiasa,
ni wale tu waliochaguliwa na wapiga kura na wenye dhamana za wananchi kama vile wenyeviti wa vitongoji, vijiji na mitaa.
Madiwani, wabunge na watendaji wote wa umma wa waTanzania. Full stop.🐒
Gentleman,sasa huo ni udikikteta wenyewe... hata dingi ndani ya nyumba huwa anapingwa na kuwasikiliza vijana wake... serikali sio dingi wangu...