Waziri Katambi apiga marufuku mikutano ya siasa kwa vyama vyote
Hivi umeelewa kwanza nilichoandika au umejibu kwa mhemko, na hata hapo sijaongelea mziki
CCM itaendelea kutekeleza wajibu wake kwa waTanzania na kuhakikisha amani na usalama wa watu, kazi na makazi yao, vinatatizwa kwa namna yoyote ile na magenge ya kihalifu yaliyojificha kwenye mgongo wa kisiasa nchini.

Hatua ya waziri Patrobas Katambi ni muhimu sana kwa ustawi wa amani na usalama na utulivu wa taifa letu.

Muziki na mpira mcheze wenyewe kama wafuata mkumbo gentleman na itapendeza zaidi.

CCM ina kazi ya kuwatumikia wananchi 🐒
 
SISIEMU wamekata Pumzi ,yaani ukisimama nchale ,ukikimbia nchale ,ukiaa nchale ,wamerudisha mpira kwa KIPA.

Wameona inakuwaje CDM kila wanapoenda wanasepa na KIJIJI halafu wanapigwa za USO.

SISIEMU bila vyombo vya dola hawatoboi.
Wanasema wamechaguliwa na wapigakura zaidi ya milioni 30; huu woga sijui unatoka wapi!
 
CCM itaendelea kutekeleza wajibu wake kwa waTanzania na kuhakikisha amani na usalama wa watu, kazi na makazi yao, vinatatizwa kwa namna yoyote ile na magenge ya kihalifu yaliyojificha kwenye mgongo wa kisiasa nchini.

Hatua ya waziri Patrobas Katambi ni muhimu sana kwa ustawi wa amani na usalama na utulivu wa taifa letu.

Muziki mcheze wenyewe gentleman 🐒
Soon mtakuwa kwenye blacklist ya terrorist organization
 
Back
Top Bottom