Marcostilone
JF-Expert Member
- Jun 25, 2023
- 7,018
- 17,932
Wameshatambua kuwa uwanjani wamezidiwa, hivyo njia pekee iliyosalia ni kuufunga uwanja wenyewe ili asiwepo yeyote wa kucheza.
Eee mjinga wa buku 7000Ok. muerevu 🐒
Teh teh teh 😃 😃 😃 wanadai Ili Wananchi Sasa wajenge nchi , Kumbe ni hofu ya Upinzani.. haaaaaaa haaaaaaa 😃Kwa adilimia wanazodai wameshinda kwanini wanaogopa mikutano ya kisiasa
relax gentleman, and plz avoid nonsense perceptions and narratives 🐒Soon mtakuwa kwenye blacklist ya terrorist organization
We ni kubwa jingarelax gentleman, and plz avoid nonsense perceptions and narratives 🐒
ikiwa umefikia ukomo wa mawazo mapya na fikra mbadala bora zaidi ya wengine, ni vema kukaa kimya na kujifunza kwa wengine.Eee mjinga wa buku 7000
Ok.🐒We ni kubwa jinga
Umeshalipwa au bado?CCM itaendelea kutekeleza wajibu wake kwa waTanzania na kuhakikisha amani na usalama wa watu, kazi na makazi yao, vinatatizwa kwa namna yoyote ile na magenge ya kihalifu yaliyojificha kwenye mgongo wa kisiasa nchini.
Hatua ya waziri Patrobas Katambi ni muhimu sana kwa ustawi wa amani na usalama na utulivu wa taifa letu.
Muziki na mpira mcheze wenyewe kama wafuata mkumbo gentleman na itapendeza zaidi.
CCM ina kazi ya kuwatumikia wananchi 🐒
Halafu kila siku wanahubiri 4Rs halafu wanaogopa kuambiwa ukweli....Naona ile ya kutenga Trilioni moja kwa ajili ya safari za mwigulu kwenda kusikiliza kero za ndoa imewauma sana wananchi kuambiw ukweli.Wanasema wamechaguliwa na wapigakura zaidi ya milioni 30; huu woga sijui unatoka wapi!
We ni mjinga unamwazo gani mbadala zaidi unahoja za kijinga na fikra finyu kama genge lenu la kitapeli na kigaidiikiwa umefikia ukomo wa mawazo mapya na fikra mbadala bora zaidi ya wengine, ni vema kukaa kimya na kujifunza kwa wengine.
hakuna haja ya kumbwelambwela vitu useless jukwaani 🐒
ukifika ukomo wako wa mawazo mapya na fikra mbadala dhidi ya hoja au comments za wadau jukwaani, huna haja ya kumbwelambwela vitu useless jukwaani gentleman,Umeshalipwa au bado?
Kwanza kidato cha nne ulipata division ngap?ukifika ukomo wako wa mawazo mapya na fikra mbadala dhidi ya hoja au comments za wadau jukwaani, huna haja ya kumbwelambwela vitu useless jukwaani gentleman,
kaa kimya tu na itapendeza zaidi, okay?🐒
mjanja mbona unaendekeza mihemko tu jukwaani 🤣We ni mjinga unamwazo gani mbadala zaidi unahoja za kijinga na fikra finyu kama genge lenu la kitapeli na kigaidi
Nakuuliza tena umeshalipwa? jibu swali acha kuongea kama umewekewa betri mpyaukifika ukomo wako wa mawazo mapya na fikra mbadala dhidi ya hoja au comments za wadau jukwaani, huna haja ya kumbwelambwela vitu useless jukwaani gentleman,
kaa kimya tu na itapendeza zaidi, okay?🐒
Nchi ya kijinga sana hii! Sasa kuna umuhimu gani wa kuwepo na katiba kama kila mtu ana mamlaka ya kujiamulia vile apendavyo?Leo bungeni Waziri wa Mambo ya Ndani, Patrobas Katamb ameagiza Jeshi la Polisi kusitisha vibali vya mikutano ya siasa kwa kipindi kisichojulikana.
Moto umekuwa mkali na uwanja umeinama kwa upande wa CCM hadi kuomba tena Msaada wa jeshi la polisi , ingawa wananchi tuliwaonya CCM kuwa vita hii ya kubishana na CHADEMA mtaangukia pua lkn walibisha.
Waziri wa Mambo ya ndani, akiwa bungeni amesema
''Kwa sababu ya taharuki hizi ambazo zimekuwa zikiendelea, nitatumia fursa hii pia, Mheshimiwa Spika, kwa sababu tumekuwa tukisikia majibizano ya hapa na pale, kupitia Wizara ya Mambo ya Ndani ambayo ni custodian wa peace, order, and tranquility, kupitia Wizara ya Mambo ya Ndani ambayo tumepewa instrument na dhamana ya kusimamia amani, ulinzi na usalama, na kwa sababu chochezi wa mambo haya umeonekana zaidi kwenye maeneo ya kisiasa.
Ameongeza, kupitia Bunge lako tukufu, namuelekeza IGP Wambura asitoe vibali kwa kazi zozote zitakazokuwa zinahusiana na kufanya mikutano ya hadhara katika kipindi hiki kwa chama chochote, iwe Chama cha Mapinduzi, iwe chama chochote kile kwa kipindi hiki.
Amemalizia kwa kushauri 'Ni vizuri turudi katika kuwaruhusu wananchi wajenge uchumi wa nchi yao. Ni katika kipindi ambacho tunahitaji kufanya kazi kwa ajili ya kuhakikisha kila Mtanzania, wafanyabiashara, wawekezaji, wanafanya kazi yao kwa amani na utulivu. Nafanya hivi, Mheshimiwa Spika, kwa sababu katika mazingira haya, tutakapokuwa tunawatafuta wahalifu, ni ngumu kuchambua wahalifu kwenye mkusanyiko ya watu wengi."
Mjinga mbona unaongea ujinga wa buku 7000 Jukwaani??mjanja mbona unaendekeza mihemko tu jukwaani 🤣
just relax bana
jikite kwenye hoja ya msingi mezani, acha kuhamisha mjadala kindezi hivyo na kusumbua wadau wa Jf na vitu useless plz.Kwanza kidato cha nne ulipata division ngap?