Waziri Katambi: Vijana ambao hawajapata mikopo ya Halmashauri pengine ni Wakenya

Naibu Waziri-OWM, Vijana, Kazi na Ajira, Patrobas Katambi amesema kwamba, zaidi ya bilioni 150 zimekwishatolewa kwa vijana kama mikopo na kusema kama kuna kijana yeyote ambaye hajapata mkopo itakuwa pengine ni Mkenya.
Kauli hiyo ameitoa hii leo Mei 18, 2022, bungeni jijini Dodoma

View attachment 2229205
Ukute na wabunge walipigapiga meza kumshangilia katambi na mama yao
 
Leo imekuwa wakenya, yule wa mwanzo alisema tukimbilie burundi, hizi kauli zinaonesha jinsi taifa linavyoongozwa na walafi wa madaraka waliojaa dharau.
Jamaa wanapewa madaraka makubwa mno ambayo hawana uwezo nayo
 
Miaka yote naamini mimi ni Mtanzania. Nina Kitambulisho cha Nida, Napiga Kura, nina Passport. Kumbe si Mtanzania.

Kwa kauli ya Katambi nmevuliwa nguo kabisa. Wazazi hawakuwahi kunambia mpaka Waziri leo ndo kasema. Sielewi hata huko Kenya ndugu zetu ni Kabila gani. Nmechanganyikiwa sana.

Nimeuliza kwa wenzangu wengi nao wanasema hawajapata nikagundua tumejazana wakenya wengi sana hapa Tanzania. Je haiwezekani kuipora nchi?

Niseme tu. Mimi ni mmoja ya Vijana ambao hatujapata Mikopo ambao Waziri kasema hiyo mikopo wamegawa kwa Watanzania tu. Wakenya hawajapewa. So kama Hujapata usihangaike tena kutaka kujua uraia wako. Wewe si Mtanzania.

Mungu tunusuru na haya mambo. Basi afadhali angesema Mmarekani ningeomba nirudishwe huko. Sasa.... Nimechanganyikiwa kabisa.

Naibu Waziri-OWM, Vijana, Kazi na Ajira, Patrobas Katambi amesema kwamba, zaidi ya bilioni 150 zimekwishatolewa kwa vijana kama mikopo na kusema kama kuna kijana yeyote ambaye hajapata mkopo itakuwa pengine ni Mkenya.
Kauli hiyo ameitoa hii leo Mei 18, 2022, bungeni jijini Dodoma https://t.co/yFOlXUb9nD
 
Nenda kakopeshe kenya
 
Wakenya tuko wengi sana kumbe.....sasa ndio nimeelewa
 
Haya makapi ya Magufuli akili zao ziko kwenye makalio. Kuna yule ngumbu mwingine alituambia tuhamie Burundi. Watu walio zowea kuchungulia makalio ya ng'ombe wako kama ng'ombe.
Sijui Mh. Rais nae hizi kaulianaziona ni sawa kuacha wananchi wake kutukanwa hivyo au vipi??
 
Tatizo lako ni Katambi mengine bla bla kama kawaida yetu Chadema

Kwa sasa tumewaelewa wahuni na wazee wa visasi
 
Kama hujapata mkopo wewe sio mtanzania, ni mkenya! Nchi hii Kuna wakenya wengi sana kumbe! Tufanye msako waliokosa mkopo wote washitakiwe kwa kuingia nchini illegaly.
 
Miaka yote naamini mimi ni Mtanzania. Nina Kitambulisho cha Nida, Napiga Kura, nina Passport. Kumbe si Mtanzania.

Kwa kauli ya Katambi nmevuliwa nguo kabisa. Wazazi hawakuwahi kunambia mpaka Waziri leo ndo kasema. Sielewi hata huko Kenya ndugu zetu ni Kabila gani. Nmechanganyikiwa sana.

Nimeuliza kwa wenzangu wengi nao wanasema hawajapata nikagundua tumejazana wakenya wengi sana hapa Tanzania. Je haiwezekani kuipora nchi?

Niseme tu. Mimi ni mmoja ya Vijana ambao hatujapata Mikopo ambao Waziri kasema hiyo mikopo wamegawa kwa Watanzania tu. Wakenya hawajapewa. So kama Hujapata usihangaike tena kutaka kujua uraia wako. Wewe si Mtanzania.

Mungu tunusuru na haya mambo. Basi afadhali angesema Mmarekani ningeomba nirudishwe huko. Sasa.... Nimechanganyikiwa kabisa.

Naibu Waziri-OWM, Vijana, Kazi na Ajira, Patrobas Katambi amesema kwamba, zaidi ya bilioni 150 zimekwishatolewa kwa vijana kama mikopo na kusema kama kuna kijana yeyote ambaye hajapata mkopo itakuwa pengine ni Mkenya.
Kauli hiyo ameitoa hii leo Mei 18, 2022, bungeni jijini Dodoma https://t.co/yFOlXUb9nD
Amesema vjana wote wenye sifa uchawa na ukiroboto wamepewa mikopo kama hujapata basi utakuwa Kenya njoo haraka Hahaha
 
"Basi afadhali angesema Mmarekani ningeomba nirudishwe huko" kwanini huombi kurudishwa Kenya kama ungeomba kurudishwa US?
 
Mimi ni Mtanzania na nimepata mkopo wa Halmashauri [emoji1735][emoji1735]
 
Haya makapi ya Magufuli akili zao ziko kwenye makalio. Kuna yule ngumbu mwingine alituambia tuhamie Burundi. Watu walio zowea kuchungulia makalio ya ng'ombe wako kama ng'ombe.
Sijui Mh. Rais nae hizi kaulianaziona ni sawa kuacha wananchi wake kutukanwa hivyo au vipi??
Ni lini mtamuacha Magufuli? Ko hata baraza la sasa hivi ni la Magufuli? Wakati mwingine akili zinakuwa kama ziko makalioni, yaani Samia aliteua baraza lake na huyo Mwigulu alikuwa ashatemeshwa leo bado mnaita ni makapi ya Magufuli? Si mngewaua wote ili wabaki mnaowapendeni ninyi. Mnakera sana muda mwingine, mbona madhaifu ya Magufuli hamkusema ni makapi / madhaifu ya Kikwete? Sometimes tumieni hata robo ya bongo zenu kufikiri kabla ya kunena.
 
Back
Top Bottom