Waziri Kigwangalla awacharukia wanaomsema hajui Kiingereza

Ahahahaaaa [emoji3][emoji23][emoji1787], Dr mzima !!!. Hizi PhD za udsm hizi , daahh !!
 
Kujua kiingereza ni muhimu kama Mtanzania msomi, wanaojifanya kusema sioi ya muhimu kama huyu jamaa ni vilaza tu. Kiingereza ni official language Tanzania, inatumika kufundishia kuanzia middle school hadi university alafu mtu anasema si lazima kujua? kalio size ya ziwa victoria kabisa. Ni lazima kujua kiingereza msomi yeyote yule la sii hivyo wabadilishe mtaala kila kitu kifundishwe kwa kiswahili waache ujinga.

Na anayesema si sifa kujua ngeli ye naye walewale, ngeli ni sifa kubwa tukua multilingual ni sifa duniani kote, inapendeza sana kujua lugha zaidi ya moja, nashangaa watu wanajidahi kwa kuongea lugha moja peke yake, ya nini kujibana dunia ina watu 7bil unaweza kuongea na 50mil peke yake we una matatizo gani? Kwa nini usijue lugha itakayokuwezesha kuongea na angalau 3bil people? Lazy minds think very small.
 
Hajui bhana asijishaue, kha!
 
Tayari yeye ana lugha tatu..Kingu lugha mama,,,Kiswahili lugha ya taifa...kingereza cha mawasiliano..unataka ipi tena?
 
Wachina wakiwa hapa wanazungumza kingereza kwa kuwa hawajui Kisukuma, Mtanzania akiwa Uchina anazungumza Kisukuma kwa kuwa hajui Kichina. Tukipata mtawala Mgogo itakuwaje?
 
Wachina wakiwa hapa wanazungumza kingereza kwa kuwa hawajui Kisukuma, Mtanzania akiwa Uchina anazungumza Kisukuma kwa kuwa hajui Kichina. Tukipata mtawala Mgogo itakuwaje?
Ni uzembe wetu.... Ilitakiwa wazungumze kichina Kisha tuwe na vijana wetu watafsiri....... Inaongeza ajira
 
Asante kwa darasa zuri
 
Cdm wanakupa hata nafasi ya kugombea uraisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…