Waziri Kigwangalla awacharukia wanaomsema hajui Kiingereza

Nimegundua watetezi wengi hii lugha imewapiga chenga
 
Kiranga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
The preposterous pantomime position on my purported pedantic pugilism is purely Philistine pitter-pattering and power politics pouting by pity parties picking pickaninny points.
 
The preposterous pantomime position on my purported pedantic pugilism is purely Philistine pitter-pattering and power politics pouting by pity parties picking pickaninny points.
Kiranga unatufanya watu tujione hatujui chochote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Kiingereza Chako kinaumiza kichwa
Hapa hadi nitafute dictionary lol[emoji1787]
 
Mzigo abebeshwe punda ilo ukulijua mkuu
 
Tufike mahali tuseme ukweli. Kutokujua Kiingereza hapa Tanzania yetu kunaondoa usomi. Kupatikana kwa usomi ni kwa kupitia hiyo lugha. Somo la kemia ni gumu kuliko la Kiingereza. Utajuaje gumu na kushindwa rahisi na ambalo pia ni medium of instruction kwa lile gumu!
 

Huo udaktari wake aliusomea kwa lugha ya “Kikimbu”????Yaani sijui ccm inawafanya nini hawa wajinga, kuna mwingine ana phd lakini anawahutubia watu na kuwaambia Saddam Hussein alikua raisi wa Kuwait!
 
Hebu mwageni hapa hicho chingereja chake tukamsikilizishe bwana boris johnson kama ataweza kumwelewa, au atahitaji msaada wa mkalimani..
 
Kuna mdau huku kwetu anasema kigwangala alipga HAVARD kuanzia undergraduate mpaka master hv ni kweli wadau au jamaa ananilisha matango pori.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…