Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
KirangaSi Bora kiingereza cha Nyani, Cha Kiranga sasa ndio utajua kuwa hii lugha huku tunajifanya tunaijua ila hatuijui kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KirangaSi Bora kiingereza cha Nyani, Cha Kiranga sasa ndio utajua kuwa hii lugha huku tunajifanya tunaijua ila hatuijui kabisa.
Ramaphosa alipelekewa na Kabudi&Magu zawadi ya vitabu vya kiswahili ili ajifunze.Nimegundua watetezi wengi hii lugha imewapiga chenga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ramaphosa alipelekewa na Kabudi&Magu zawadi ya vitabu vya kiswahili ili ajifunze.
Sijui hata kama anajua vilipo hivyo vitabu sasa hivi.
Kiranga unatufanya watu tujione hatujui chochote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]The preposterous pantomime position on my purported pedantic pugilism is purely Philistine pitter-pattering and power politics pouting by pity parties picking pickaninny points.
Mzigo abebeshwe punda ilo ukulijua mkuuMimi kipindi kiingereza kipo sheki nilibahatika kukutana na Natives wenyewe,Americans. Waligundua kiingereza si lugha yangu hivyo wakawa wananiongelesha kwa spidi ndogo ili nielewe na mimi nikawa najibu kwa uwezo wangu na nikawa naeleweka.Ila kuna Mkenya fulani tulikuwa naye yeye alikifahamu sana tu na akawa anaona atapata ujiko zaidi kwa udhaifu wangu.Ila chakushangaza kazi nyingi zikawa zinakuja kwangu.
Siku moja nikawauliza mabosi wetu kulikoni,mbona mimi napata kazi nyingi kuliko yule jamaa.Wakasema wamependa jinsi ninavyofanya kazi zangu.Nikawauliza kuhusu lugha yangu sababu mwenzangu accent yake ilikuwa nearly American.Wakasema hilo nisijali,kwa spirit niliyonayo ntajua tu.Mwisho wakaniambia wanaenjoy kusikia Foreign Accent.
Baadaye kikakaa kichwani,japo si kivile.Sasa WaTz wenzangu huu ujasiri wa kuchekana kwenye lugha za kigeni sijui tunautoa wapi.
Sio mzigo labda nikwambie tu unalipwa kutokana na idadi ya kazi ulizofanya(projects)!Mzigo abebeshwe punda ilo ukulijua mkuu
Your point of view! Not bad!Nimegundua watetezi wengi hii lugha imewapiga chenga
Tufike mahali tuseme ukweli. Kutokujua Kiingereza hapa Tanzania yetu kunaondoa usomi. Kupatikana kwa usomi ni kwa kupitia hiyo lugha. Somo la kemia ni gumu kuliko la Kiingereza. Utajuaje gumu na kushindwa rahisi na ambalo pia ni medium of instruction kwa lile gumu!Naunga mkono hoja,kutojua lugha fulani hakuondoi usomi wa mtu,,ila kwa nchi yetu ukijua kiingereza tu basi utatazamwa kwa jicho tofauti
Humu ndani kuna "nyani" bingwa wa kiingereza hatari,ukibahatika kujua kiingereza kama cha yule kwa nchi yetu wewe ni msomi hata kama ni la saba
Ndiyo mkuuYour point of view! Not bad!
Huyu kidogo afukuzwe chuo kwa kupika wali bwenini
Kigwangalla awacharua wanaomsema hajui kingereza asema sio sifa kuijua
Waziri wa Maliasilia na Utalii, Dk. Hamis Kigwangalla amesema kuna watu huwa wanajaribu kumkosoa lugha yake ya kingereza.
“Huwa nina washangaa sana maana kwanza siyo sifa kujua lugha hiyo mimi naitumia kama njia ya kuwasiliana tu,” aliandika Kigwangalla katika ukurasa wake wa Twitter.
Aliongezea kuwa “Ningekuwa sijui kiswahili ama kikimbu na mtu akanicheka angekuwa na mantiki.
View attachment 1471687
Waziri anaihifadhi lugha ya Kiingereza kuwasiliana na watalii na katika masuala ya kikazi tu. Hapendi ujinga.
Nimecheka hatariHuyu kidogo afukuzwe chuo kwa kupika wali bwenini