Waziri Kombo amkabidhi Guterres ujumbe wa Rais Samia

Waziri Kombo amkabidhi Guterres ujumbe wa Rais Samia

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,194
Reaction score
911
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb), amewasilisha ujumbe maalum wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Mhe. António Guterres, na kusisitiza dhamira ya Tanzania ya kuimarisha ushirikiano wa kimataifa, amani na maendeleo endelevu.
20260616_185635.jpg
20260616_185639.jpg
20260616_185648.jpg
 
Kwanza huyo ni mzanzibar, sisi hatuhusu kabisa.
Tunataka tuwakilishwe na Mtanganyika
Pia jina la Tanzania liondolewe sbb Oct 29 mauwaji yalifanyika Tanganyika siyo Zenjiii.
7/7 tunatoka
 
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb), amewasilisha ujumbe maalum wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Mhe. António Guterres, na kusisitiza dhamira ya Tanzania ya kuimarisha ushirikiano wa kimataifa, amani na maendeleo endelevu.View attachment 3609165View attachment 3609166View attachment 3609167
Hili li-babu jinga bwana. Linachojua ni kukenua meno na ku-pose kwa picha tu. Bure kabisa urojo huu!
 
Ukiwa na akili ndogo ni rahisi kujishugjulisha na mambo yasiyo na maana. Huyu anahangaika na kuvizia picha akiamini picha zinaficha uovu walioutenda na wanaoendelea kuutenda. Alienda mpaka Roma akavizia picha na Papa, kisha akatengeneza hadithi yake ya uwongo ambayo ilikuja kupingwa na Vatican.
 
Gutteres seeing here having a picture with a Mafioso.
 
Ukiwa na akili ndogo ni rahisi kujishugjulisha na mambo yasiyo na maana. Huyu anahangaika na kuvizia picha akiamini picha zinaficha uovu walioutenda na wanaoendelea kuutenda. Alienda mpaka Roma akavizia picha na Papa, kisha akatengeneza hadithi yake ya uwongo ambayo ilikuja kupingwa na Vatican.
Weee mwache azunguke km pia anadanganya umma, yajayo yanafurahisha sana kwa huo muungano wao wa kizushi.
 
Kazi tunayo kwa kweli naona kama Nchi tunaadhibiwa sijui tulikosa nini sitegemei Tanzania kuwa na kiongozi wa namna hiyo kuzunguka Dunia kwa kupiga picha tu huku Nchi ikiwa na matatizo mengi wao wanabaki kuja na solution ya kuongeza kodi kwenye magari hela wanazungukia kupiga picha huko..
 
Back
Top Bottom