Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 1,194
- 911
Hili li-babu jinga bwana. Linachojua ni kukenua meno na ku-pose kwa picha tu. Bure kabisa urojo huu!Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb), amewasilisha ujumbe maalum wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Mhe. António Guterres, na kusisitiza dhamira ya Tanzania ya kuimarisha ushirikiano wa kimataifa, amani na maendeleo endelevu.View attachment 3609165View attachment 3609166View attachment 3609167
Weee mwache azunguke km pia anadanganya umma, yajayo yanafurahisha sana kwa huo muungano wao wa kizushi.Ukiwa na akili ndogo ni rahisi kujishugjulisha na mambo yasiyo na maana. Huyu anahangaika na kuvizia picha akiamini picha zinaficha uovu walioutenda na wanaoendelea kuutenda. Alienda mpaka Roma akavizia picha na Papa, kisha akatengeneza hadithi yake ya uwongo ambayo ilikuja kupingwa na Vatican.