Kama October 29 Polisi wamwtumia risasi, ongea ya October 29th basi, maana hapa unampa msemo Kombo kwamba unachofanya wewe ni ku spin kumuwekea maneno ambayo yeye hajayasema.Kuna principal inasema sikia kilichosemwa elewa ambacho hakijasemwa!
Una attack mtu mwenye jiwe!?
29 Oct police walikuwa Wana attack kwa njia ipi zaidi ya kudungua risasi za vichwa.
Ujumbe wake usikilize kulingana na context ya 29 Oct hiyo ndio tunaongelea na yeye anongelea.
Sioni kama Kuna kitu kigumu kuelewa hapo kwamba kama vile ni elimu ya rocket science
Au Samia alipokuwa anamwambia ruto vijana wacharazwe viboko alikuwa anamaanisha viboko kweli!?
Mpaka Kombo kwenda kuongelea bungeni anongelea mauaji ya Oct 29 ambapo vijana waliuawa sio waliopigwa virungu. Na kwa walio uawa mataifa ya nje Kombo na Samia wamesema waliuawa kwa sababu walitaka kupindua serikali bungeni anasema waliuawa kwa sababu ya kurusha mawe.Sasa na wewe unataka kumpinga Samia kwa kuwa kama Samia?
Hatuhitaji kutunga maneno ambayo hayajazemwa ili kuonesha ubaya wa CCM.
Ukweli wa wanachosema na kufanya unatosha.
Mahmoud Kombo hakutaja risasi, hukuwa na haja ya kuspin kuwa kasema risasi.
It's not like kuna uhaba wa hoja za kuwasema CCM mpaka uanze kutunga maneno ambayo hayajasemwa.
Ukitunga maneno hivyo, hata utakaposema kweli watu watakutilia shaka.
Jitu pumbavu sana hili. Assuming hiyo argument ya kijuha ina mashiko, watu waliouawa majumbani mwao walikuwa wanamrushia mawe nani?
Ongelea mauaji ya October 29 basi.Mpaka Kombo kwenda kuongelea bungeni anongelea mauaji ya Oct 29 ambapo vijana waliuawa sio waliopigwa virungu. Na kwa walio uawa mataifa ya nje Kombo na Samia wamesema waliuawa kwa sababu walitaka kupindua nchi, bungeni anasema waliuawa kwa sababu ya kurusha mawe.
Oct 29 sijasikia mtu akilalamikia vijana kupigwa virungu wala Kombo sijamsikia alisema kupiga virungu ni akili yako imetengeza hicho.
Wewe umesema Kombo anaongelea kupiga virungu sio risasi tueleze hayo umetoa wapi!?Ongelea mauaji ya October 29 basi.
Huhitaji kumuwekea Kombo maneno ambayo hajayasema (risasi) ili kuonesha ubaya wake.
Kombo alishaenda Al-Jazeera mwenyewe akasema serikali ilizima mtandao kudhibiti hali.
Kuzima mtandao huku ndiko kuliwezesha mauaji yafanyike bila dunia kuona.
Ma Seneta wa Marekani wameliona na kulisema hili. Sisi pia tuliliona na kulisema hili awali kabisa.
Kombo hana uhaba wa mashtaka ya kumshitaki kukufanya wewe utunge uongo kusema kasema neno risasi ambalo hajalisema.
Huna haja ya ku spin na kuweka neno risasi sehemu ambayo Kombo hajasema risasi, utampa Kombo point aseme wewe muongo umeweka neno ambalo hajalisema.
Na watu ambao watataka kuchunguza kisa hiki wataangakia video wataona kweli, Kombo hajasema neno risasi, umelitunga mwenyewe.
Watakuona wewe muongo, unakaanga mbuyu.
Wapi nimesema hivyo?Wewe umesema Kombo anaongelea kupiga virungu sio risasi tueleze hayo umetoa wapi!?
Relative to Oct 29 attack nini!? Zaidi ya kuua.Wapi nimesema hivyo?
Unajua kusoma wewe?
Unajua kusoma kwa ufahamu?
Unajua fikra dhahania?
Is it right, in the current Tanzanian context, to interpret Kombo saying "attack" as meaning "shoot" or even "shoot to kill"?
Or is that bias, just the facts please, attack could be by baton, or other proportionate force?
That is the question.
Umeelewa?
Kwa sababu Kuna watanganyika wenzetu ambao wako royal kwa CCM kuliko TanganyikaHii kauli lazima tu itamgharimu. Ila sisi watanganyika tumewezaje kukubali kutawaliwa na raia wakanchi kadogo cha viwango vya zanzibar!!!
Huu muungano bora tu tuuvunje.
Je, wajua IQ inapungua by 5 units kila ukiangalia clip ya bunge tukufu la jamhuri.Wakuu Jana bungeni Waziri wa diplomasia na mambo ya nje Kombo raia wa Zanzibar anayefanya kazi Tanganyika amesema katiba yetu inataka polisi akirushiwa jiwe ampige risasi haraka raia anayerusha na kilochotokea Oct 29 ni cha kikatiba Yale mauaji yalfanyika kwa sababu polisi walirushiwa mawe.
Huyu bwana alionekana akishangilia na kupiga makofi Samia alipokuwa anamwambia ruto washirikiane kucharaza viboko gen ZView attachment 3595938
I beg to differe as a former service member hakuna kitu kama hiko kwenye pgo eti attack first, aache kuongea matango pori hapaView attachment 3596014
Kombo: Polisi ukimlengea jiwe utaona, general oder yake inamwambia attack first. Tumeshaliponya Taifa acheni chokochoko
Sasa kama una tukio la mauaji tayari Kombo kashaua, kwa nini hushikilii mauaji ambayo yashatokea, hayahitaji tafsiri ya neno "attack", unaenda kushikilia hoja inayotegemea subjective interpretation kuhusu neno "attack" kuhusiana na mauaji ambayo yanaweza kufanyika au yasifanyike?Relative to Oct 29 attack nini!? Zaidi ya kuua.
Kombo lini umemsikia akielezea watu kupigwa virungu!?
Dunia umeiskia lini ikielezea Tanzania watu wanapigwa virungu zaidi ya kuuawa.
Hayo mambo ya virungu umetoa wapi!?
Au ndio unataka ku-sound smart kwenye kila kitu una mawazo unique!?
Wewe ni nani unaamua maneno flani yana utata na maneno flani hayana utata.Sasa kama una tukio la mauaji tayari Kombo kashaua, kwa nini hushikilii mauaji ambayo yashatokea, hayahitaji tafsiri ya neno "attack", unaenda kushikilia hoja inayotegemea subjective interpretation kuhusu neno "attack" kuhusiana na mauaji ambayo yanaweza kufanyika au yasifanyike?
Kombo kashaua tayari by virtue of collective responsibility of the senior Tanzanian government officials . Kombo kazima mtandao mauaji yasionekane. Kombo kaenda Al-Jazeera kasema kazima mtandao tayari. Haya yote hayana ubishi.
Kwa nini unashindwa kusimamia kesi ya mauaji ambayo yashatokea, unataka kumuwekea maneno yenye utata, maneno yanayoweza kumpa point Kombo kwamba hajayasema na wewe ni mchonganishi tu, kwa nini unazusha maneno kwa Kombo ili kuonesha kuwa Kombo ni muuaji wakati Kombo ni muuaji bila hata ya kumzushia maneno?
Sifuatilii nakutana nazo tuJe, wajua IQ inapungua by 5 units kila ukiangalia clip ya bunge tukufu la jamhuri.
Fuatilia habari za bunge at your own risk.
Atutajie hicho kifungu ili tuingie kwenye handakini basi...View attachment 3596014
Kombo: Polisi ukimlengea jiwe utaona, general oder yake inamwambia attack first. Tumeshaliponya Taifa acheni chokochoko
View attachment 3596014
Kombo: Polisi ukimlengea jiwe utaona, general oder yake inamwambia attack first. Tumeshaliponya Taifa acheni chokochoko
Twende na facts tupu, maana tafsiri kila mtu anaweza kuja na yake.Wewe ni nani unaamua maneno flani yana utata na maneno flani hayana utata.
Wewe hayo ya virungu umetoa wapi kama sio kuzusha!? Mimi naongelea kilochotokea mtaani attack ilimaanisha risasi hiyo attack ya virungu labda huko US na Kombo anaiambia dunia watu waliuawa kwa sababu ya kurusha mawe sio walipigwa virungu.
Hizi akili unawezaje kuijadili mambo ya creation vitu vidogo kama hivi huelewi.
The only philosophy unayoijua wewe ni materialistic