Gentleman,Here we are: By Mpare Mpoli
Nimejitahidi kuangalia katika katiba yetu ya 1977, nimeshindwa kuona ibara ambayo inasema kuua ni kawaida ! @Advocate_Jebra @TonnyAdamms @AdvMahinyila @Mwabuk2Boniface naomba mnisaidie kwenye hilo ili nielimike
Unalipwaga bei gani mkuu maana sio kwa kutetea Kila kituGentleman,
hebu weka kavideo tuskie alivyotamka hayo, kabla ya upotoshaji wako wa artwork 🐒
huna kavideo gentleman mbona una mbwelambwela na huo upotoshaji?🐒Unalipwaga bei gani mkuu maana sio kwa kutetea Kila kitu
Video zitaletwa humuhuna kavideo gentleman mbona una mbwelambwela na huo upotoshaji?🐒
hiyo ndio muhimu zaidi gentleman, artwork za wafuata mkumbo ni upotoshaji useless mtupu 🐒Video zitaletwa humu
Huyu naye alitakiwa awekwe lock up na marehemu baba yake mpaka kifo.Here we are: By Mpare Mpoli
Nimejitahidi kuangalia katika katiba yetu ya 1977, nimeshindwa kuona ibara ambayo inasema kuua ni kawaida ! @Advocate_Jebra @TonnyAdamms @AdvMahinyila @Mwabuk2Boniface naomba mnisaidie kwenye hilo ili nielimike
We Takataka usifaa kitu kwenye JaaWewe ni Islamophobe. Na chuki hii ina madhara kwako wewe mwenyewe. Wengine tunajua kuwa hizi chuki dhidi ya watawala Waislam ni kutokana na Islamophobia ambayo baadhi yenu mnayo. Na baadhi yenu hamuwezi hata kujificha. Kelele zote hizi moja ya sababu ni Islamophobia. Hii Nchi mnahisi ni nyinyi tu ndio mnatakiwa kutawala. Kila anapokuja Rais Muislam mtamsumbua na kumuwekea mazingira magumu kufanya Nchi isitawalike aonekane hafai.
Ni watu mmejaa husuda na chuki. Tunamuomba Allah Atukinge na Shari yenu.
We Takataka usifaa kitu kwenye Jaa
Nyungunyungu asiye na Ufahamu hata wa Nungunungu
Mtu ni vile alivyolelewa toka utotoni
Wewe Ukiona ni vibaya jirani chumba cha pili kukunanga hulipi bili ya umeme kwa wakati ukaona suruhisho ni kumla mkwe ili kumkomoa we ni mshenzi kama washenzi wengine
Nyau nyie ndio mnaishia kuwa waganga wa kienyeji paka shume kabisaUsiniletee ukichaa wako mimi, mtu unazeeka na chuki zinazokuumiza wewe mwenyewe na huna chochote cha kufanya.
Nya
Nyau nyie ndio mnaishia kuwa waganga wa kienyeji paka shume kabisa
We ni Lofa kwa Ubora wakoTunamshukuru Allah kwa Neema ya Uislam na Sunnah. Huna cha kufanya na hutakuwa na cha kufanya kwa Idhini ya Allah. Kufa kwa chuki yako.
ayat 33 from Surah At-Tawbah
﴿هُوَ الَّذِي أَرْسَلَ رَسُولَهُ بِالْهُدَىٰ وَدِينِ الْحَقِّ لِيُظْهِرَهُ عَلَى الدِّينِ كُلِّهِ وَلَوْ كَرِهَ الْمُشْرِكُونَ﴾
[ التوبة: 33]
Yeye ndiye aliye mtuma Mtume wake kwa uwongofu na Dini ya Haki ipate kushinda dini zote, ijapo kuwa washirikina watachukia.
We ni Lofa kwa Ubora wako
Hayo ya kushukuru Allah hayanihusu
Sina shida uislamuNdio tushakuwa Waislam sasa utafanya nini? Tunamuomba Allah Atufishe katika Uislam na Sunnah, Allahumma Aamiin.
Allah Akuongoze katika Uislam.
Wacha kujizingusha " raia wa Zanzibar anaefanya kazi Tanganyika"? Huyo ni mtanzania na niwaziri wako. Hakuna nchi Wala mamlaka inayoitwa Tanganyika.Wakuu Jana bungeni Waziri wa diplomasia na mambo ya nje Kombo raia wa Zanzibar anayefanya kazi Tanganyika amesema katiba yetu inataka polisi akirushiwa jiwe ampige risasi haraka raia anayerusha na kilochotokea Oct 29 ni cha kikatiba Yale mauaji yalfanyika kwa sababu polisi walirushiwa mawe.
Huyu bwana alionekana akishangilia na kupiga makofi Samia alipokuwa anamwambia ruto washirikiane kucharaza viboko gen ZView attachment 3595938
Mkiwa mnataka fursa za Tanganyika mnajiita Watanzania, mkifika Zanzibar mnajiita wazanzibar, mkienda nje mnajiita wazanzibar.Wacha kujizingusha " raia wa Zanzibar anaefanya kazi Tanganyika"? Huyo ni mtanzania na niwaziri wako. Hakuna nchi Wala mamlaka inayoitwa Tanganyika.
Soma between the linesKama October 29 Polisi wamwtumia risasi, ongea ya October 29th basi, maana hapa unampa msemo Kombo kwamba unachofanya wewe ni ku spin kumuwekea maneno ambayo yeye hajayasema.
Hakusema risasi. Twende na facts si kuongeza maneno.
Ukiongeza maneno unakuwa huna tofauti na CCM.
Kombo ana mengi ya kumsema bila kutunga neno risasi ambalo hajalisema.
Tanganyika haipo labda wilaya ya Tanganyika ila nchi inayoitwa hivyo haipo.Mkiwa mnataka fursa za Tanganyika mnajiita Watanzania, mkifika Zanzibar mnajiita wazanzibar, mkienda nje mnajiita wazanzibar.
Waziri haramu kwa sababu Tanganyika hatuna serikali