Hayo unayoyaongea yanaweza kuwa yanatokea Tanzania, lakini hayatakiwi yawe hivyo. Wizara ya mambo ya ndani ipo responsible kikatiba kutafuta na kudeal na issue zote zinazohusiana na missing persons.Sio hoja ya mcng kujua kuandika majina ya watu,ebu niambie ni lini wizara iliwajibika kwa kupotea kwa mtu?Nilikua na ndugu yangu alikua anaondoka tu nyumbani na haieleweki kaenda wapi.Kilichokua kinafanyika ni kutoa tu taarifa kuna ndugu yetu kapotea yuko hivi na hivi,hakuna cha kusema polisi wakamtafute wala nn.na iko hivo.Watu wengi wakipotea tumeona matangazo yakibandikwa kwa ajili ya kuwatafuta.Ingekua ni habari nyingine kama mngesema katekwa,lkn bado hoja itakuja huyo alikua anafanya kitu gani cha kusababisha atekwe? Nini uhusiano wake na hao waliomteka.
Kwa kuwa Tanzania zimejaa skwata kila mahali haina maana kuwa hivyo ndivyo inavyotakiwa iwe.