Waziri Lugola: Wizara haihusiki na kupotea kwa Mwandishi wa Kampuni ya Mwananchi Communication Limited, Azory Gwanda

Waziri Lugola: Wizara haihusiki na kupotea kwa Mwandishi wa Kampuni ya Mwananchi Communication Limited, Azory Gwanda

Sio hoja ya mcng kujua kuandika majina ya watu,ebu niambie ni lini wizara iliwajibika kwa kupotea kwa mtu?Nilikua na ndugu yangu alikua anaondoka tu nyumbani na haieleweki kaenda wapi.Kilichokua kinafanyika ni kutoa tu taarifa kuna ndugu yetu kapotea yuko hivi na hivi,hakuna cha kusema polisi wakamtafute wala nn.na iko hivo.Watu wengi wakipotea tumeona matangazo yakibandikwa kwa ajili ya kuwatafuta.Ingekua ni habari nyingine kama mngesema katekwa,lkn bado hoja itakuja huyo alikua anafanya kitu gani cha kusababisha atekwe? Nini uhusiano wake na hao waliomteka.
Hayo unayoyaongea yanaweza kuwa yanatokea Tanzania, lakini hayatakiwi yawe hivyo. Wizara ya mambo ya ndani ipo responsible kikatiba kutafuta na kudeal na issue zote zinazohusiana na missing persons.

Kwa kuwa Tanzania zimejaa skwata kila mahali haina maana kuwa hivyo ndivyo inavyotakiwa iwe.
 
Nilipoona shati lake limeshonewa mifuko yenye bendera ya Taifa nikapata jibu hapohapo.
 
Sio hoja ya mcng kujua kuandika majina ya watu,ebu niambie ni lini wizara iliwajibika kwa kupotea kwa mtu?Nilikua na ndugu yangu alikua anaondoka tu nyumbani na haieleweki kaenda wapi.Kilichokua kinafanyika ni kutoa tu taarifa kuna ndugu yetu kapotea yuko hivi na hivi,hakuna cha kusema polisi wakamtafute wala nn.na iko hivo.Watu wengi wakipotea tumeona matangazo yakibandikwa kwa ajili ya kuwatafuta.Ingekua ni habari nyingine kama mngesema katekwa,lkn bado hoja itakuja huyo alikua anafanya kitu gani cha kusababisha atekwe? Nini uhusiano wake na hao waliomteka.

Kuandika jina la mtu kwa usahihi ni ishara muhimu ya heshima. Nikushauri tu, uandishi ni kigezo kikubwa cha kupima ueledi na hekima.

Ninarudia tena, kazi ya jeshi la polisi ni kuhakikisha usalama wa kila raia ndani ya mipaka ya Tanzania. Kutokufanikisha wajibu huu, haimaanishi siyo wajibu wao. Ni kama mwalimu asipofundisha au kusahihisha mitihani mara kwa mara halafu hawajibishwi ukasema ni kawaida yake. Hilo ni kosa na halitakiwi kuzoeleka. Kuna taratibu za kuwajibisha serikali na ndio maana tuna Mahakama na Bunge ambazo zinatakiwa kusimamia serikali na taratibu zake. Kama hili halitendeki, basi tukubali tuna ombwe la uongozi. Swali, je tulikabili vipi hilo ombwe, ikiwa lipo?

Tukija kwa mwandishi Azory Gwanda: Ikiwa familia na mwajiri wametoa taarifa ya kutoonekana kwake, Polisi inawajibu wa kumtafuta. Aidha yuko salama au la, ni jambo la kutatua akishapatikana. Ikiwa ametekwa au la, hilo pia ni jukumu la Jeshi la Polisi kufuatilia. Ndio wenye mamlaka, ujuvi na wajibu.
 
So sasa hivi tuna uhuru wa kutoweka tukiwa majumbani kwetu?. Lugola ni kiazi grade1.
 
waliopoteza ndugu yao si wakaripoti?

amejibu sahihi mheshimiwa.

utaanzaje kumsaka akati wanaolala nae wapo kimya?
 
Kangi Lugora yuko sahihi na jinsi swali liliulizwa na huyo Mwandisha wa habari.....Maana mwandishi aliyepotea wala hakukuwa na purukushani wakati anachukuliwa katika ya mji tena mchana kweupe na akaenda kuchukua fungua wa nyumba yake shambani alikokuwa mkewe sasa hapo unataka Waziri aongee nini.
Jeshi la polisi kazi yake ni nini??

Na jeshi la polisi lipo chini ya wizara gani?
 
Alafu mbona karudia kuvaa shati? Hana nguo nyingine mpaka arudie shati moja?
 
siku hadi siku..Ninja anaanza kupagawaa

'Mwaafwaaaazz..'
 
Kama hii ndio sub aliyofanya jiwe hapa kazi ipo.
 
Anafanya mzaha kwenye mambo ya msingi na mazito. Binafsi, this is exactly what I expected and said so somewhere. Huyu alitamka bungeni kuwa wanaopinga mradi wa Stiegler's gorge watafungwa jela!
 
Jibu km hili heri angekaa kimya watu tungetafasiri hata kujib. Hata wiki haijapita unaulizwa swali km hilo isitoshe nafasi ya kuteuliwa sio ya kugombea utaulizwa kwanini hujui au kwanini uligombea kama hujui matatizo ya jumbo!!! Jibu rahisi ni lilikuwa ndiyo kwanza umeanza kazi hivyo mambo yote ambayo ni kero kwa wananchi Utayashughulikia.
Yetu macho, hayauliyoanza nayo sio kero za wananchi ni maagizo tu uliyopewa. Sisi wananchi tunasubiri ukimaliza maagizo uliyopewa uanzekutatua kero zetu likiwamo la kupotea kwa Azory.
 
Afu utegemee umaarufu wa bwana yule uendelee kupanda .... Road to 0% Fame.
 
Mim namlaum anaewateua hawa viongozi.
Kweli huyu ndo kapewa dhamana ya kusimamia ulinzi na usalama wa raia na mali zao?
 
Kutoka "bendera shingoni" hadi "bendera mifukoni"
Maskini Bendera yetu inatumika vibaya
 
Back
Top Bottom