Papy ndombe
JF-Expert Member
- Oct 24, 2020
- 3,761
- 4,535
Kama huna mke je
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado unaimani za kizamani zile zakiumasikini? Unaoa wake wote hao umeambiwa wake nikama mbuzi wa nyama chomaa??upuuzi mtupu
Hajui kuwa nchi hii ni halali kuwa na ndoa za wake wengi?..
Maendeleo hayana chama
Dini haina ukale na usasa. Kuoa wake wanne sio imani za kizamani. Mjifunze kuheshimu dini za wengine namna walivyopokea mapokeo yao.Bado unaimani za kizamani zile zakiumasikini? Unaoa wake wote hao umeambiwa wake nikama mbuzi wa nyama chomaa??
Mnao jipanga kuoa kazi kwenu.. 😀😀😀
HahahaMnao jipanga kuoa kazi kwenu.. [emoji3][emoji3][emoji3]
Hamna dini inayoruhusu kuoa wake wengi hiiii nitaamaaa tuuu. Na kunadini moja inajifanya kurubuni waumini wao eti nilazima kuoa wake maelufu eti siovibaya, huo ulikua nimpango wa hao waeneza hiyo dini huku Africa baaada ya kuona wafrica wanapenda kizaliana saanaa. Lakini ukiwaaangalia wanzilishi wao hakuna mwenye wake wengi pamoja na utajiri wanaomilikiDini haina ukale na usasa. Kuoa wake wanne sio imani za kizamani. Mjifunze kuheshimu dini za wengine namna walivyopokea mapokeo yao.
Wewe ndio mdini kwasababu umetengeneza scenario yako halafu ukajijibu mwenyewe, sina hakika hata kama umeipata hiyo habari kwa undani lakini unakuwa mwepesi kuanza kulialia kama ilivyo kawaida yenu.upuuzi mtupu
Hajui kuwa nchi hii ni halali kuwa na ndoa za wake wengi?
Kwa hiyo ukimuoa Fatuma ukanunua kiwanja utamuweka fatuma, kisha baada ya miaka mitano ukamuoa Asha, itabidi ubadili hati umuongeze asha, baada ya miaka miwili ukamuoa Zainabu itabidi ukabadili hati umuweke na Zainabu? .
Je ukimtaliki Asha akakupekeka mahakamani kudai chake inabidi kiwanja kiuzwe ili mgawane hicho kiwanja licha ya kuwa umeandika majina ya wake zako wengine watatu waliobaki?
Au huyu mdini anataka kutengeneza mazingira ya kutaliki wanawake iwe ngumu kwa kufungamanisha mali na ndoa? - Anataka kuachieve mfano wa ndoa ya Kikanisa kwa watanzania wote kwa mlango wa nyuma?. Katika hilo Lukuvi hutofanikiwa ng'o!
Huo mfumo kristo si huwa mnasema ulishawekwa toka zamani? kumbe huwa hamjui mnachoongea, hebu punguza mihemko.Anataka kukita mfumo Kristo kupitia umiliki wa ardhi huyo.
Anataka ndoa za wake wengi ziwe ngumu na pia anataka kutaliki mwanamke iwe ngumu kwa sababu ya complications za kufungamanisha ardhi na mke. Kwa hivyo indirecty anataka kuweka incentive ya ndoa ya mume mmoja mke mmoja kama ya kanisani. Lukuvi ulipolala jana tumemkia juzi, huwezi kufanikiwa!
Mungu Ni mwema nimepata kiwanja kilaiiiniKama sijaoa je? Au sitoruhusiwa kua na hati
Kasome hiyo stori, sio kukomenti vichwa vya habariKama sijaoa je? Au sitoruhusiwa kua na hati
hatupotei,tuko kwenye raiti trakiHii nchi tunazidi kupotea...
shenziKama sijaoa je? Au sitoruhusiwa kua na hati