Waziri Lukuvi: Kuanzia sasa ukiwa na kiwanja kinatakiwa kiitwe kwa jina lako na la mke wako

Dini haina ukale na usasa. Kuoa wake wanne sio imani za kizamani. Mjifunze kuheshimu dini za wengine namna walivyopokea mapokeo yao.
Hamna dini inayoruhusu kuoa wake wengi hiiii nitaamaaa tuuu. Na kunadini moja inajifanya kurubuni waumini wao eti nilazima kuoa wake maelufu eti siovibaya, huo ulikua nimpango wa hao waeneza hiyo dini huku Africa baaada ya kuona wafrica wanapenda kizaliana saanaa. Lakini ukiwaaangalia wanzilishi wao hakuna mwenye wake wengi pamoja na utajiri wanaomiliki
 
Wewe ndio mdini kwasababu umetengeneza scenario yako halafu ukajijibu mwenyewe, sina hakika hata kama umeipata hiyo habari kwa undani lakini unakuwa mwepesi kuanza kulialia kama ilivyo kawaida yenu.

Mwanadamu mwenye akili timamu siku zote hutafuta mlango mwingine wa kutokea pale anapoona mlango alioutegemea umefungwa, sasa wewe badala ya kulialia na tabia yako ya kuoa na kuacha hovyo, nakushauri hakikisha kila utakaemuoa ummilikishe kiwanja chake binafsi, na hayo yawe makubaliano yako na wake zako, kila mke mmoja awe na mali yake mkishirikiana, sio mali zile zile miaka yote halafu unarundika majina yote ya wake zako.
 
Huo mfumo kristo si huwa mnasema ulishawekwa toka zamani? kumbe huwa hamjui mnachoongea, hebu punguza mihemko.
 
Ngoja nimwambie mwenyekiti wangu Le Mutuz anipekadi ya kudumu ya senior bachelor 4 life
 
Huyu Waziri akapimwe Mirembe matamko yake mengi ni roporopo mara Mvamizi hata vunjiwa alipo vamia mara mvamizi akipitiwa na ring road TANRODS watamlipa sasa kweli huyu mzima kichwani?
 
Mimi nadhani kabla ya mtu ambaye hajasoma sheria hata kama ni Waziri kabla ya kuja public na ajenda yoyote basi apate ushauri wa kina kabisa!
Unaweza kuwa na nia nzuri kabisa ya kutatua tatizo la mirathi lakini ukasababisha tatizo lingine la kufanya ardhi ikawa valueless kabisa! Bank gani itachukua ardhi kama collateral wakati ina mlolongo wa beneficiaries ambao wasipo- consent wote basi property hiyo siyo viable for loan?!
 
Tunapo elekea tutakuja kuambiwa "bila kua na cheti cha ndoano" basi hatuja fuzu kupata huduma popote...🤸🤸
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…