Waziri Lukuvi: Kuanzia sasa ukiwa na kiwanja kinatakiwa kiitwe kwa jina lako na la mke wako

Hapo waziri kateleza kuandika jina la hawa kwenye hati ni tatizo kubwa wengi wanakuja kubadilika angesema tuandike jina la mtoto siyo mke mwanamke kiwanja anunuwe chskwake
 
Bado unaimani za kizamani zile zakiumasikini? Unaoa wake wote hao umeambiwa wake nikama mbuzi wa nyama chomaa??
Imani za kisasa unazijua?

Ziweke hapa tuzijadili.

Kama wewe huna uwezo wa kuridhisha/kuwamudu wanawake usionee wivu wenzio.
 
Kama Kuna kitu hunaufahamu nacha kaakimya au uliza Kwanza usikanushe kila usichokijua
 
Je kwa waislamu ambao wana wake WANNE inakuwaje. Lukuvi hayo ni MATAMANIO YAKE sio mwongozo wa sheria wa umilki ardhi wa sheria namba 4&5
 
Kama sijaoa je? Au sitoruhusiwa kua na hati
ndio uoe sasa !ebooh!!!unanunua kiwanja ili ukafugie mbuzi au? una hadi pesa ya kiwanja halafu kuoa hutaki unadhani hao wanawake wataishije!!!
 
Kuhusiana na Kauli ya Mh Waziri Lukuvi ebu Wajuvi wa Mambo ya Kisheria tupeni Darasa juu ya Concept hizi
1.Separate property

2.Matrimonial property

3.Joint Occupancy

4.Occupancy In Common
 
Tanzania Raha Sana, binadamu ni wabinafsi kiasili,,, Hilo la umiliki wa ardhi litaleta Vita mbaya mno kwenye family nyingi Sana, sasa hivi ni tatizo,this days watoto ndio huleta shida za kudai urithi pindi baba anapo rip, Tena huwa hawajali mama mjane ataishi vipi...sasa tunataka na majina yao yaingingizwe ktk umiliki....natafakari namna vyngu itakuwaje duh...
 
Hii mimi siwezi kukubali. Mitoto mingine inaweza kukuuwa mapema kisa jina lao lipo kwenye hati ya nyumba. Hata mwanake naye ivyo ivyo. Na yamewakuta wengi
 
Ss ambao hatujaoa tunandika jina la nani ? Au michepuko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…