kirumbiu
JF-Expert Member
- Feb 23, 2016
- 640
- 702
Hapo waziri kateleza kuandika jina la hawa kwenye hati ni tatizo kubwa wengi wanakuja kubadilika angesema tuandike jina la mtoto siyo mke mwanamke kiwanja anunuwe chskwakeWaziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amesema sheria inaruhusu kuandikwa majina yote mawili ya wenza katika hati za umiliki ardhi na Wizara ya Ardhi imekuwa ikisajili Hati nyingi zenye majina yote mawili ya wenza na wengine husajili na majina ya watoto wao.