Waziri Lukuvi: Kuanzia sasa ukiwa na kiwanja kinatakiwa kiitwe kwa jina lako na la mke wako

Waziri Lukuvi: Kuanzia sasa ukiwa na kiwanja kinatakiwa kiitwe kwa jina lako na la mke wako

Nikiwa na wake wawili je? Inakuaje wote inabidi niadike majina yao?
 
Hizi ndio zile elimu zinazolalamikiwa na wananchi wa JF sijui ni vyuo gani ambavyo vinatoa elimu ambayo imekuwa ni chachu ya machungu ambayo watanzania wanayapata kwa sasa..
 
Shida yote hiyo ya nini, kama jina la mume lipo kwenye hati automatically mke anakuwa sehemu ya umiliki. Vinginevyo iwe specified kwamba hiyo property ni mali binafsi ya mume na siyo ya familia.
 
Mazingira mazuri ya uwekezaji? Tutashuhudia Sana ongezeko la uchumba sugu na ndoa nyingine zikivunjwa kisheria huruhusu Uhuru wa mtu mmoja mmoja
 
Mzee wa kigango analeta sheria za hisia.
Anataka kukita mfumo Kristo kupitia umiliki wa ardhi huyo.

Anataka ndoa za wake wengi ziwe ngumu na pia anataka kutaliki mwanamke iwe ngumu kwa sababu ya complications za kufungamanisha ardhi na mke.

Kwa hivyo indirecty anataka kuweka incentive ya ndoa ya mume mmoja mke mmoja kama ya kanisani. Lukuvi ulipolala jana tumemkia juzi, huwezi kufanikiwa!
 
Back
Top Bottom