Levels baby
JF-Expert Member
- Sep 26, 2019
- 831
- 770
Kumbuka alieongea ni waziri wa mambo ya ndani..Kama DPP alisema kuwa ameibiwa, yeye ndiye alitakiwa kuja kukanusha kwamba hakuibiwa, na siyo mwingine kuja hapa kusema aliyeibiwa ni kwingine(ofisi ya mashtaka Mkoa wa Dar), Je wana share office?
Afadhali.......Chadema watatafuta mjadala mwingine!
Kwani Kamanda wa polisi kanda maalum si angesema DPP kamwambia kuwa siyo yeye aliyeibiwa? Kwani Kamanda hakuambiwa na DPP kuwa wameibiwa?Kumbuka alieongea ni waziri wa mambo ya ndani..
Hii nchi ina ujinga mwingi sana jana alisema ni DPP😂😂 leo waziri anasema ni ofisi tofauti kabisaKwa hiyo mwendesha mashtaka wa mkoa wa Dar es salaam anaitwa DPP? Basi kama no hivyo Mamboleo ni mbulula!
Ulivyo mpuuzi hata waziri wa mambo ya ndani humjui!!..Mahiga ni waziri wa mambo ya ndani?? halafu umeniquote hapo juu nilivyosema my take hivi mpuuzi kama wewe unategemea ntajibizana na wewe?Kumbuka alieongea ni waziri wa mambo ya ndani..
Kelele zimewashtua mmeamua kurewind mkanda maana stearing angefia kwenye maua km ilivyokuwa kwa MO shenzi type,usitetee wezi...you feeble minded zombie!Hata kama mu waoinzani lakini mfike mahali muwe mnajirydishia ufahamu.
Ofisi ya DPP iko katika nganzi ya mikoa hadi makao makuu ambako ndio kwa DPP mwenyewe, sasa kama mbapewa taarifa rasmi halafu mnaikataa nini maana yake?
Mara ooh aje DPP mwenyewe akanushe what a nonsense!
Tatizo humu JF mmejaa rundo la wakaanga sumu.mnaoitakia mabaya tu nchi hii.
Nina hakika hamfurahii kusikia habari hizi.
Mahiga kataja mpaka ofisi zile za mkoa zilizoibwa zilipo,halafu nyinyi mazumbwi wa humu mnalazimisha tu kwamba ni za makao makuu ya DPP je mna itakia mabaya tu nchi hii all the time?
Shame on you all!
Nakuomba usirudie tena kuniquote huku ukiwa hujui kutofautisha matumizi ya R na L..tafadhali sana usirudie kuniquote post yangu sehemu yoyote humu JF sina muda wa kujibizana na watu wa aina yakoUshachukuliwa pouwa vingapi na umekaa tu.haraf unakuja hapa unaandika Mytake acha ujinga
Ni kutojua tu kwamba kila Mkoa una ofisi ya DPP kwa maana ya mawakili wa serikali. Mtu husipojua hilo utadhani kama tulivyoelewa awaliMazingaombwe they make us we are poor and we can't think.
Ndiyo maana watu wanasema CCM ni chama cha mashetani! Baada ya reacton za watu, mmeona mbadili kauli. mashetani wakubwa!Afadhali.......Chadema watatafuta mjadala mwingine!
Mahiga ni Waziri wa Mambo ya NdaniUlivyo mpuuzi hata waziri wa mambo ya ndani humjui!!..Mahiga ni waziri wa mambo ya ndani?? halafu umeniquote hapo juu nilivyosema my take hivi mpuuzi kama wewe unategemea ntajibizana na wewe?
Taarifa ya Mambo mbona ipo katika magazeti ya leo. Itabidi Sasa ayakanushe.Hahahah ndo maana walimkataza Mambosasa asiongee maana angewachomea script
Kuna tofauti gani kati ya ofisi hizo mbili?
Ofisi za mashtaka pale dar zipo kwenye jengo la ghorofa ambalo zamani ilikuwa ofisi ya makamu wa rais, pale posta ya zamani ukipita jengo la NBC, ofisi zipo ghorofa ya Tano,, uyo mwizi kuiba hadi ashuke nazo chini simchezo umbali wake,,Waziri wa Katiba na Sheria, Balozi Augustine Mahiga amesema kompyuta zilizoibwa ni za ofisi ya mashtaka mkoa wa Dar na sio ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) nchini Tanzania na kwamba nyaraka za wahujumu uchumi zipo mahali salama.
"Ofisi ya Mkurugenzi Mkuu anayeshughulikia mashtaka ya serikali haikuguswa, nyaraka zote zipo, taarifa zote zipo, na kazi yake inaendelea" - Waziri Augustine Mahiga.
Chanzo: Mwananchi
My take: ifikie kipindi hawa watawala wasituchukulie poa wananchi.
ofisi kuu ya DPP Ipo Dodoma, walishahama Dar, dar kuna kuna ofisi ndogo ya mashtaka, kama ilivyo kwa mikoa mingineWanatuona sisi mafala sana. DPP alisema ni Ofisi yake. Leo anajitokeza mtu anasema ni za Dar pekee
kila Mkoa una ofisi ya mashtaka, ila makao makuu ya Mashtaka taifa kwasasa yapo DodomaKuna tofauti gani kati ya ofisi hizo mbili?
We kupe mbona unamwaga mipovu humu ? Ukiongea kistaarabu hutoeleweka ?Hata kama mu waoinzani lakini mfike mahali muwe mnajirydishia ufahamu.
Ofisi ya DPP iko katika nganzi ya mikoa hadi makao makuu ambako ndio kwa DPP mwenyewe, sasa kama mbapewa taarifa rasmi halafu mnaikataa nini maana yake?
Mara ooh aje DPP mwenyewe akanushe what a nonsense!
Tatizo humu JF mmejaa rundo la wakaanga sumu.mnaoitakia mabaya tu nchi hii.
Nina hakika hamfurahii kusikia habari hizi.
Mahiga kataja mpaka ofisi zile za mkoa zilizoibwa zilipo,halafu nyinyi mazumbwi wa humu mnalazimisha tu kwamba ni za makao makuu ya DPP je mna itakia mabaya tu nchi hii all the time?
Shame on you all!