Waziri Mahiga: Kompyuta zilizoibwa ni za ofisi ya mashtaka mkoa wa Dar na sio ofisi ya DPP

Waziri Mahiga: Kompyuta zilizoibwa ni za ofisi ya mashtaka mkoa wa Dar na sio ofisi ya DPP

Kama DPP alisema kuwa ameibiwa, yeye ndiye alitakiwa kuja kukanusha kwamba hakuibiwa, na siyo mwingine kuja hapa kusema aliyeibiwa ni kwingine(ofisi ya mashtaka Mkoa wa Dar), Je wana share office?
Kumbuka alieongea ni waziri wa mambo ya ndani..
 
Kumbuka alieongea ni waziri wa mambo ya ndani..
Kwani Kamanda wa polisi kanda maalum si angesema DPP kamwambia kuwa siyo yeye aliyeibiwa? Kwani Kamanda hakuambiwa na DPP kuwa wameibiwa?

Waziri wa mambo ya ndani ndiye aliyepigiwa simu na DPP kuhusu wizi ama ni kamanda?
 
Kwa hiyo mwendesha mashtaka wa mkoa wa Dar es salaam anaitwa DPP? Basi kama no hivyo Mamboleo ni mbulula!
Hii nchi ina ujinga mwingi sana jana alisema ni DPP😂😂 leo waziri anasema ni ofisi tofauti kabisa
 
Kumbuka alieongea ni waziri wa mambo ya ndani..
Ulivyo mpuuzi hata waziri wa mambo ya ndani humjui!!..Mahiga ni waziri wa mambo ya ndani?? halafu umeniquote hapo juu nilivyosema my take hivi mpuuzi kama wewe unategemea ntajibizana na wewe?
 
Hata kama mu waoinzani lakini mfike mahali muwe mnajirydishia ufahamu.

Ofisi ya DPP iko katika nganzi ya mikoa hadi makao makuu ambako ndio kwa DPP mwenyewe, sasa kama mbapewa taarifa rasmi halafu mnaikataa nini maana yake?

Mara ooh aje DPP mwenyewe akanushe what a nonsense!

Tatizo humu JF mmejaa rundo la wakaanga sumu.mnaoitakia mabaya tu nchi hii.
Nina hakika hamfurahii kusikia habari hizi.

Mahiga kataja mpaka ofisi zile za mkoa zilizoibwa zilipo,halafu nyinyi mazumbwi wa humu mnalazimisha tu kwamba ni za makao makuu ya DPP je mna itakia mabaya tu nchi hii all the time?

Shame on you all!
Kelele zimewashtua mmeamua kurewind mkanda maana stearing angefia kwenye maua km ilivyokuwa kwa MO shenzi type,usitetee wezi...you feeble minded zombie!
 
Inasikitisha sana...

Why now? Warudishe hizo pesa...

Alafu utakuja sikia aliyefanya hicho kitendo ni dereva Tax na amekamatiwa mpakani...

Cc: mahondaw
 
Ushachukuliwa pouwa vingapi na umekaa tu.haraf unakuja hapa unaandika Mytake acha ujinga
Nakuomba usirudie tena kuniquote huku ukiwa hujui kutofautisha matumizi ya R na L..tafadhali sana usirudie kuniquote post yangu sehemu yoyote humu JF sina muda wa kujibizana na watu wa aina yako
 
Kwani umeshawahi kuona wahujumu uchumi kutoka Dar!
Wahujumu uchumi wote ni wamikoani[emoji41] [emoji41] [emoji41]
 
Ulivyo mpuuzi hata waziri wa mambo ya ndani humjui!!..Mahiga ni waziri wa mambo ya ndani?? halafu umeniquote hapo juu nilivyosema my take hivi mpuuzi kama wewe unategemea ntajibizana na wewe?
Mahiga ni Waziri wa Mambo ya Ndani
 
DPP : Ni kweli, Kompyuta zenye taarifa za wahujumu uchumi zimeibiwa katika ofisi yangu.

Waziri wa Katiba na Sheria : Hapana, sio kweli, Kompyuta hazijaibiwa katika ofisi ya DPP ila ni katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam.

Hii ni Serikali moja inayopingana[emoji44][emoji44][emoji44].

Kwa mara nyingine tena actors wamekosea script [emoji3][emoji3][emoji3]

Sirikali ya Vi-Wonder. [emoji125][emoji125][emoji125]
 
Waziri wa Katiba na Sheria, Balozi Augustine Mahiga amesema kompyuta zilizoibwa ni za ofisi ya mashtaka mkoa wa Dar na sio ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) nchini Tanzania na kwamba nyaraka za wahujumu uchumi zipo mahali salama.

"Ofisi ya Mkurugenzi Mkuu anayeshughulikia mashtaka ya serikali haikuguswa, nyaraka zote zipo, taarifa zote zipo, na kazi yake inaendelea" - Waziri Augustine Mahiga.

Chanzo: Mwananchi

My take: ifikie kipindi hawa watawala wasituchukulie poa wananchi.
Ofisi za mashtaka pale dar zipo kwenye jengo la ghorofa ambalo zamani ilikuwa ofisi ya makamu wa rais, pale posta ya zamani ukipita jengo la NBC, ofisi zipo ghorofa ya Tano,, uyo mwizi kuiba hadi ashuke nazo chini simchezo umbali wake,,

Ila mazingira ya lile jengo kwasasa hapastaili kabisa Kabisa ofisi ya mashtaka kuwa pale,, pako ovyooooo mnooo, kwa mazingira ya pale wala sio hujuma ya serikali, bali nikweli wahalifu wameiba kwa 100%√,, pako ovyo, jengo limechoka ndani, na pale chini wala hakuna ulinzi wa polis zaidi mara nyingi kuna dada wa mapokezi na mlinzi wa kirungu,,
Ofis kuu ya mashtaka ilihamia Dodoma nilisikia,
 
Wanatuona sisi mafala sana. DPP alisema ni Ofisi yake. Leo anajitokeza mtu anasema ni za Dar pekee
ofisi kuu ya DPP Ipo Dodoma, walishahama Dar, dar kuna kuna ofisi ndogo ya mashtaka, kama ilivyo kwa mikoa mingine
 
Hata kama mu waoinzani lakini mfike mahali muwe mnajirydishia ufahamu.

Ofisi ya DPP iko katika nganzi ya mikoa hadi makao makuu ambako ndio kwa DPP mwenyewe, sasa kama mbapewa taarifa rasmi halafu mnaikataa nini maana yake?

Mara ooh aje DPP mwenyewe akanushe what a nonsense!

Tatizo humu JF mmejaa rundo la wakaanga sumu.mnaoitakia mabaya tu nchi hii.
Nina hakika hamfurahii kusikia habari hizi.

Mahiga kataja mpaka ofisi zile za mkoa zilizoibwa zilipo,halafu nyinyi mazumbwi wa humu mnalazimisha tu kwamba ni za makao makuu ya DPP je mna itakia mabaya tu nchi hii all the time?

Shame on you all!
We kupe mbona unamwaga mipovu humu ? Ukiongea kistaarabu hutoeleweka ?
 
Back
Top Bottom