Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,205
- 33,287
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Udini ukikujaa ni shida. Waliosema ni waturuki ambao mwenye shule ni wao, kimasingi mwenye maslahi ya karibu zaidi ni mturuki(serikali ya uturuki), ww mtz kwa sababu ya agenda zako za udini unaona wao wanaonewa. Tuavhe chuki hizi ili kulinda Amani ya nchi yetu.Hapo kunatengenezwa uzushi kuzichafua hizo shule hakuna lingine,tunajua upande flani hauna haki hapa tanzania basi tuachieni hata hivyo vichache jamani.
Mkuu hii haina Udini wala nini.Ni vizuri pia tukang'oe bati za nyumba ya waziri mkuu na makamu wa raisi pale oysterbay tupeleke shule za kayumba pia ni za magaidi.......Udini na siasa ikitawala fikra yako huwezi tofautisha usiku wala mchana.
Zinaweza kuwa zinaenda kwa mfumo wa kawaida kabisa bila hata utakatishaji lakini zimelengwa kufanikisha ugaidi.
Wakisema wanatuma fedh akwenda kwa yule Fetullah aliyeko marekani, kwa jambo sahihi kabisa na la wazi, nani ataquestion? Fetullah anapochannel hizo fedha kutoka amerika, Tz inasimamiaje kwamba haziendi kufanikisha ugaidi?
Serikali ichunguze.
Kiongozi nadhani hujaelewa issue nikwamba hizi Shule zinamilikiwa na Jamaa alietaka kupindua Serikali....nakwenye Mapinduzi inatumika Pesa..Kwahiyo inasemakana chanzo cha pesa zinazoSupport huo ugaidi zinapatikana miongoni mwa hizo Shule sasa wanataumia ile ukitaka kumuua NYOKA mkate KICHWA kabisa
BothKwani Mapinduzi Ni UGAIDI au UHAINI??
Naomba Majibu Mkuu.
Akili zake haziwazi nje ya udiniUnamaanisha Waturuki wazushi
.....
Serikali ya Uturuki inadai wamiliki wa shule hizo na baadhi ya wafanyabiashara wanafadhili ugaidi kwa kushirikiana na Imamu Fethullah Gulen anayeishi nchini Marekani ambaye ndio inadaiwa yuko nyuma ya jaribio la Mapinduzi.
= > Aidha, Ubalozi wa Uturuki Tanzania umedai kuwa baadhi ya walimu wa shule za FEZA ambao ni raia wa Uturuki wamekuwa wakitumia mbinu za kigaidi kufundisha wanafunzi.
......
Mkuu, Rais wake mteule wa Turkey, kamuhusisha na kashafungia taasisi zake mbalimbali mpaka sasa, sitegemei uje hapa useme unafahamu mienendo yake.Mkuu hii haina Udini wala nini.
[emoji38] [emoji38] umekurupuka Bure. Huelewi msingi wa Tatizo.
*****, hivi kwa hali hii unafelije.?
Well said.Kwa Mara Ya Kwanza Ninawaona Wale Wanaoonekana Kuwa Na Maarifa Mengi Wakifichuo Hisia Zao Bila Ya Wenyewe Kujua!
Hivi Ni Kweli Nyinyi Hamujui Tofauti Ya TREASON (UHAINI) na TERRORISM (UGAIDI) ?
Kwasababu Yule Jamaa FETULLAH Anajuilikana Kimataifa Kuwa Ni Mtu Anaepigania Mageuzi Nchini Turkey, Na Ndiyo Maana Mataifa Ya Magharibi Yote Yanamuunga Mkono ikiwemo Marekani Ambayo Imempa Hifadhi Kwenye Nyumba Maalum Akilindwa Na Maafisa Wa Uslama wa CIA.
Na Mapinduzi Yaliyofanyika Uturuki Yaliungwa Mkono Na Marekani pamoja Na Mataifa Ya Ulaya Wakisema Kuwa Yangelifanikiwa Mapinduzi Hayo, Basi Wangelikuwa Wanaumaliza Ugaidi!! Kumbe Kwa Mtazamo Wa Wamagharibi Erdogan Ndiye Gaidi.
Serikali Ya Uturuki imeamua Kuwa Wale Wahaini Waliojaribu Kumpindua Rais Kuwaita MAGAIDI, Hivi Kumbe Maana Ya Gaidi Kwa Mtazamo Wako Na Mtazamo wa Waturuki Ni Yule Anaetaka Kumpindua Raisi??
Kwahiyo Wale Waliotaka Kumpindua NKURUNZIZA nao Ni Magaidi???
CCM waliopindua Zanzibar (1964) Nao Ni Magaidi??
Mkuu Si Kila Linapotumika Neno Ugaidi Unatakiwa Kuliunga Mkono eti tu Waliolengwa Ni Wafuasi Wa Dini Fulani.
Hayo Ni Maswala Ya Kisiasa si Ya Kidini.
Serikali Ya CCM zanzibar imeamua Kuvunja Maduka Ya Wapemba Pale Darajani Mjini Unguja wakiamini Kuwa Kuuwa Upinzani ni Lazima Uondoshe Zile Sehemu Zao Za Chanzo Cha Mapato.
Na Mfano Huo Ndiyo Anaotumia Erdogan Kutaka Kuuwa Upinzani Kwa Kuvunja Vyanzo Vyao Vya Mapato Kwa Ktumia Jina la Kuwabambikizia Ugaidi.
Tanzania Haiizidi Marekani Kwa Intelijensia, Mbona Marekani imekataa Kumlabel Fetullah Kuwa ni Gaidi?? Kwasababu inajua Kuwa Fetullah ni Mwanaharakati Anaepigania Demokrasia Na Wala si Ugaidi.
It's obvious as mentioned by the Turkey government some of the teachers impart secretly dangerous doctrine to our sons and daughters hence let our able government led by Dr Magufuli as President take heed, take appropriate action at the right time after thorough investigation, we should remember the sayings of the retired president Jakaya Kikwete,"akili za kuambiwa changanya na za kwako"!!!!!
Both
Haya mambo ni mapacha. Ina depend na situation.
Usibishe bishe hovyo kwa jambo usilolijua.
Toa ushahidi unaokinzana na wa serikali ya uturuki vinginevyo unapiga mboyoyo zisizo na maana