Waziri Makamba avunja Kitengo cha Habari na Mawasiliano TANESCO kwa tuhuma za kushindwa kulisemea Shirika

Waziri Makamba avunja Kitengo cha Habari na Mawasiliano TANESCO kwa tuhuma za kushindwa kulisemea Shirika

Makamba anavyodai kitengo kimeshindwa kuitetea Tanesco ana maana gani? anataka kitengo kiwe kinazalisha propaganda au kifanyeje?

Navyojua hao watu wa idara ya habari wanatakiwa kupewa taarifa za majibu ya kero za wateja kutoka kwa wahusika (waziri, naibu wake, katibu mkuu nk) then wao ndio watangaze taarifa hizo kwa umma.

Sasa mfano wananchi wakiulizia ujio wa ile winchi ya tani 26 toka huko ilipoagizwa mbona mpaka leo kimya? Makamba anataka hao jamaa wa kitengo cha habari wajibu kitu gani kama hajawapa majibu?
^Kuhusu suala la ile winchi ya tani 26, serikali inafanya kila linalowezekana ili kuhakikisha kwamba ufumbuzi unapatikana haraka iwezekanavyo^ ~ In Charles Kitwanga's inebriated voice kule Dodoma.
 
Spot on.

Kwa kweli namkumbuka JPM, kwenye swala la umeme na kufanya kazi bila kupepesa macho nilimvulia kofia. Umeme ulikuwa sio tatizo, zile habari za ma-generator kila kona ya duka ziliisha. Hivi hawa viwavi hawashibi tu!
Viwavi ukiwaendekeza, hata mabua yenyewe hutayavuna! Dawa yao kuwapulizia viwatilifu kolevu hasa!
 
Anatafuta mchawi na wakati mchawi ni yeye mwenyewe, alitaka wawe wanatudangany?
Huu ujinga wa kumhusisha waziri na utaalam moja kwa moja ni tatizo kubwa sana lilosababishwa na ujinga wa kupenda sifa za kisiasa za kipuuzi tu.
Tangu lini waziri akakata umeme au kufanya ukarabati site?
Shirika liwajibike kwa nafasi yake.
Tunataka umeme usikatike hovyo, basi kwa sasa.
 
Actually it is stupid to place TANESCO's woes on its publicity department.
Futa kabisa hicho kitengo, je umeme utaacha kukatika?
Halafu unaambiwa, miongoni mwa wateule wa Bi Mikopo, eti huyu ndiye the best genius wao! Kwa maneno mengine, ndiye Chama ama Morrison wa baraza lake la mawaziri!
 
Waziri wa Nishati Mh Makamba amevunja kitengo cha habari na mawasiliano Tanesco akikituhumu kimeshindwa kulisemea shirika na kulitetea shirika kwenye nyakati ambazo kitengo na watu wake kimetakiwa kufanya hivyo!

Ikumbukwe kitengo cha habari na mawasiliano kinaongozwa na mwana dada Badra Masoud kwa misingi hiyo amekali kuti kavu ...

Maswali ya kujiuliza...
Ni kweli kitengo hichi ndicho tatizo kwenye shirika?
Ni kweli wameshindwa kuitetea tanesco?
View attachment 2095460
Baada ya Badra Masud alikuja anaitwa Leila Muhaji alikaimu kwa muda mrefu. Wasasa anaitwa Johari Kachwamba..

Naona bado upo enzi za Badra Masudi
 
Huu ujinga wa kumhusisha waziri na utaalam moja kwa moja ni tatizo kubwa sana lilosababishwa na ujinga wa kupenda sifa za kisiasa za kipuuzi tu.
Tangu lini waziri akakata umeme au kufanya ukarabati site?
Shirika liwajibike kwa nafasi yake.
Tunataka umeme usikatike hovyo, basi kwa sasa.
Kila anapotia guu lake huyu January Jm Makamba, lazima paharibike hovyo! Alivyotinga Tanesco tu, umeme ukaanza kukata five minutes hata before hajasaini kile kitabu cha officials wa wizara!
 
Waziri wa Nishati Mh Makamba amevunja kitengo cha habari na mawasiliano Tanesco akikituhumu kimeshindwa kulisemea shirika na kulitetea shirika kwenye nyakati ambazo kitengo na watu wake kimetakiwa kufanya hivyo!

Ikumbukwe kitengo cha habari na mawasiliano kinaongozwa na mwana dada Badra Masoud kwa misingi hiyo amekali kuti kavu ...

Maswali ya kujiuliza...
Ni kweli kitengo hichi ndicho tatizo kwenye shirika?
Ni kweli wameshindwa kuitetea tanesco?
View attachment 2095460
kitengo cha habari na mawasiliano Tanesco kimevunjwa, sasa muafaka ni upi? Ameunda kitengo kipi mbadala?
 
Mimi ni mpenzi wa Awamu ya 6, lakini Makamba is a let down.
Kukifuta kitengo cha habari ni kuingilia utendaji wa Management.
Angemfuta kazi CEO au Bodi nzima.
It simply means he's confused. Hajui ashike wapi, wapi akamate! Kila ushauri, lazima auparamie kama njia ya msaada kwake. Sasa ngoma inazidi kumeza maji sawasawa na inakuwa nzito taratibu!
 
Waziri wa Nishati Mh Makamba amevunja kitengo cha habari na mawasiliano Tanesco akikituhumu kimeshindwa kulisemea shirika na kulitetea shirika kwenye nyakati ambazo kitengo na watu wake kimetakiwa kufanya hivyo!

Ikumbukwe kitengo cha habari na mawasiliano kinaongozwa na mwana dada Badra Masoud kwa misingi hiyo amekali kuti kavu ...

Maswali ya kujiuliza...
Ni kweli kitengo hichi ndicho tatizo kwenye shirika?
Ni kweli wameshindwa kuitetea tanesco?
View attachment 2095460
Johari Kachambwa ndio mkuu wa kitengo. Hapo JYM anataka kuleta demu wake mtakuja kuniambia.
 
It simply means he's confused. Hajui ashike wapi, wapi akamate! Kila ushauri, lazima auparamie kama njia ya msaada kwake. Sasa ngoma inazidi kumeza maji sawasawa!
Baba yake aliiua ccm, sasa laana ile ile Mtoto ataiua Tanesco
 
Anaetumia hiyo ID hana majibu sahihi. Kuna member aliuliza kuhusu mita za vyumbani vya kupanga za kujitegemea, Kiuhalisia zipo na zinauzwa ila Kajibiwa hazipo/Hawana na hawaziuzi.
Mita aina gani,au unasemea zile za kusoma units za umeme ulizotumia ambazo zinauzwa popote pale. Lakini kama unasemea hizi mita za luku/separation meter hizo Tanesco wamesitisha.
 
January anataka kitengo cha public relation,kiwe kiwanda cha kufyatua propaganda ,hopeless kabsa wakt mungine Wallah kutulia kimya ni hekma
 
kitengo cha habari na mawasiliano Tanesco kimevunjwa, sasa muafaka ni upi? Ameunda kitengo kipi mbadala?
Tatizo si kitengo cha porojo, tunataka umeme usikatike.
Period.
Makamba kama kashindwa kazi apishe wanaoweza.
Kuvunja kitengo cha porojo is a very poor way of solving Tsnesco's problems.
We expected better from Makamba.
 
Back
Top Bottom