Waziri Makamba: Msitegemee wala kutarajia bwawa la mto Rufiji kujazwa maji mwezi Machi

Kwani Mkamba umemjua leo kuwa uo mradi hautaki? Alianza kipindi yuko Waziri wa Mazingira na mambo ya Muungano, walikuwa na kamati yao ya kutamini athali zitakazotokana na na uo mradi wakati wa ujenzi na namna ya kuziepuka! Nilishangaa walikuja kupemdekeza choo kiwe kilometer 10 toka eneo la mradi unapotekelezwa then katika eneo ilo lisondondokee oil! Just imagine eneo kama kama lile lenye mitambo kibao eti oil isidondokee.....!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi Samia alitumia kigezo gani kumpa huyo kipara wizara nyeti kama hii ?
 
Hivi bwawa la umeme rufiji likikamilika na kutumika umeme huo wa Bei rahisi,huu wa Bei ghali tunaufanyaje!?
 
Mlizoea kudanganywa na marehemu sasa mnaambiwa ukweli mnapanic wabongo bwana.
 
Kwavyovyote haliwezi kosa si bandalini wala kwa wao wenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu vip kuhusu kasi utakelezaji wa mradi? Inalidhisha?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
China nchi ya pili kwa uchumi mkubwa duniani sasa hivi anakamilisha kujenga bwawa kubwa la kuzalisha umeme,sasa jiulize china hakuona vyanzo vyengine?
China wana vyanzo vingine vingi. Hiyo Hydro yao sio ya kutegemea sana wanaongezea tu
 
Huyo ni mpigaji mkubwa yani kiujumla Hawaii kuongoza hiyo wizara labda ya jinsia na watoto
 
Mbaka linakuja kupatikana ilo winchi basi na jua hili maji yatakuwa yamepungua tutambiw tusubir mvua
 
Mwezi March/April mwaka huu Kalemani alitwambia ujazaji wa maji kwenye bwawa hilo ungeanza mwezi november mwaka huu, sasa kulikoni?
Zile zilikuwa siasa mkuu.... mimi nilikuwa nashangaa eti wanajenga bwawa kwa miaka 2! Bwana la 2115MW kwa miaka miwili?

Anyways, walitwambia pia SGR Dar Moro 2019 December tutaanza, leo tunaenda 2021 December bado wanajenga tu.
 
Hahahah choo kilometres 10? Hiiiiiiiiiii
 
China wana vyanzo vingine vingi. Hiyo Hydro yao sio ya kutegemea sana wanaongezea tu
Wewe si umesema ni tech ya kizamani?China kwenye umeme wa maji anatarget nwananchi wake kupata umeme kwa bei nafuu, kwani hashindwa kuweka mitambo ya nuklea au gesi kuzalisha umeme,ila anacho angalia ni unafuu wa gharama upande wake ujenzi na kwa mwananchi.

Sasa jiulize umeme wa maji 6tn,juzi tu wameingia mikataba ya uchimaji gesi 70tn ipi ni gharama?Unapokuwa na umeme wa gharama nafuu hata gharama maisha zinashuka.
 
Atafinyinga Sana Ila sidhani kama atatumbuliwa.
 
Makamba amewekwa pale kimkakati😅 mtaumiza sana akili ila rest assured dogo yupo wizarani ili kuipa uhai michongo ya mstaafu anayelima mapapai chalinze 😅!


Gas ina faida by far kwa mstaafu yule, na kisa cha yeye kuwekwa kwenye nafasi ile ni by influence ya mstaafu. Unaweza kuona win win situation, mkataba wa Stieglers hauna manufaa yoyote kwao hasa kwenye swala la 10% so hata wakiuwa mradi kwao sio ishu ila ile gas ikikamilishwa kule dirty south wao watapata mkate wao wa kila siku! So dhamira ni kufelisha huku na kupeleka nguvu kule ili umeme ukishaanza kufuliwa hela zianze kuingia kwenye tributaries zao.

Akiwa na power awanie u president kabisa ili atengeneze michongo zaidi.
 
hydroelectric power ni technic ya kizamani sana ya kuzalisha umeme, mwendazake alituingiza chaka, sasa mradi unatudodea. Makamba upo sahihi.
Ila maji hayana madhara kwa mazingira kama gases! Sijui kama umelifikiria hilo kwa kina. Flow ya maji haita contaminate mazingira kwa namna yeyote ile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…